UTANGULIZI
Taarifa hii inakusudiwa kuonesha aina ya miradi iliyotekelezwa kwa kila sekta, hali ya utekelezaji wa miradi hiyo, bajeti iliyoidhinishwa kwa mwaka 2021/2022, chanzo cha fedha, fedha iliyopokelewa na fedha iliyotumika. Aidha katika taarifa hii sekta zitakazohusika ni Elimu Msingi na Sekondari, Afya, Ujenzi, na Mipango.
Miradi Iliyokamilika kwa mwaka wa Fedha 2021/2022.xls
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa