KITENGO CHA MANUNUZI NA UGAVI “PMU”
Kitengo cha manunuzi na ugavi (PMU) kina watumishi 15 ,watumishi 9 wapo makao makuu na watumishi 6 wapo katika shule za sekondari.
Haya yote katika kifungu cha 37 (1-5) cha sheria ya manunuzi namba 7 ya mwaka 2011. Pia kwa mujibu wa kifungu cha 38 (a-q) kimeeleza kazi za Kitengo cha Manunuzi kama ifuatavyo;
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa