Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kununua na kumilikishwa viwanja kuwa wamepima viwanja eneo la Isakalilo nyote mnakaribishwa
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa