• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Agriculture,Irrigation and Cooperation

IDARA YA KILIMO NA UMWAGILIAJI


2.1. UKANDA WA CHINI:

Ukanda huu una mwinuko wa meta 900 – 1,200 kutoka usawa wa bahari, hupata mvua chache kiasi cha mm 500 – 600 kwa mwaka na kiwngo cha joto ni kati ya 20 °c – 30 °c.

Ukanda huu unajumuisha maeneo ya Tarafa za Pawaga, Idodi na Isimani.  Mazao yanayoliwa ni pamoja na mahindi, mpunga, vitunguu, nyanya, ndizi, karanga, pamba, mtama, mhogo, maembe, machungwa, korosho, mapapai, ufuta na viazi vitamu.

2.2. UKANDA WA KATI:

Ukanda huu una mwinuko wa meta 1,200 – 1,600 kutoka usawa wa bahari, hupata mvua za wastani na juu ya wastani mm 600 – 1,000 kwa mwaka na kiwango  cha joto ni kati ya  15 °c – 20 °c.

Ukanda huu unajumuisha maeneo ya Tarafa za Mlolo, Kalenga, Kiponzelo na Kata za Kising’a na Kihorogota katika Tarafa ya Isimani.  Mazao yanayolimwa ni tumbaku, alizeti, kabeji, ngano, soya, mahindi, pamba nyanya, viazi vitamu, viazi mviringo, maharage, ufuta, mboga na matunda.  Mazao mengine yanayoweza kustawi ni kahawa, pareto na njegere.

WATUMISHI:

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika ina jumla ya watumishi 94 ambapo kati yao watumishi 22 wako Makao Makuu na watumishi 72 wapo ngazi ya Vijiji na Kata.

SHUGHULI ZINAZOFANYIKA IDARANI:

Kupanga na kusimamia mpango wa utoaji wa huduma za ugani (Agriculture Education and Extension Services) katika Wilaya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Kutoa mafunzo mbalimbali kwa wakulima juu ya kanuni bora za uzalishaji wa mazao kwa njia ya mashamba ya mfano, mashamba darasa maonesho kama vile maadhimisho ya Nanenane, semina, n.k.

Kusimamia utendaji kazi wa watumishi na kuhakikisha wanapata maslahi yao.

Kusimamia upatikanaji na usambazaji wa zana za kilimo na pembejeo ili kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao.

Kusimamia na kutoa elimu ya uzalishaji wa mazao ya chakula, biashara, mboga na matunda ili kuwawezesha wakulima kuwa na uhakika wa chakula na kuongeza kipato katika kaya.

Kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi katika kilimo na kushauri viwango vya matumizi ya pembejeo muhimu kama mbolea kufuatana na rutuba ya udongo.

Kusimamia upatikanaji wa viuatilifu na kutoa elimu ya udhibiti wa visumbufu vya mazao kama panya, ndege, wadudu na magonjwa katika mazao.

Kutoa elimu ya ushirika na kusimamia vyama vya ushirika vya Mazzo AMCOS, SACCOS na vikundi vilivyosajiliwa rasmi.

Kutoa elimu ya matumizi na uchanganyaji wa vyakula ili kuboresha lishe katika jamii.

Ukusanyaji wa taarifa muhimu za uzalishaji wa mazao, mwenendo wa mvua nakadhalika kwa ajili ya kutoa ushauri kwa wakulima.

Kusimamia ujenzi na matumizi sahihi ya miundombinu ya kilimo hususani maghala na skimu za Umwagiliaji kwa ajili ya kuiwezesha jamii kuongeza uzalishaji na kuboresha hifadhi ya mazao hasa ya nafaka.


SHUGHULI ZA KITENGO CHA UMWAGILIAJI

Majukumu ya kitengo cha umwagiliaji ni pamoja na;

  • Kusimamia shughuli zote za kilimo cha umwagiliaji katika Halmashauri kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
  • Kupima na kusanifu miradi mbalimbali ya umwagiliaji kwa ajili ya kuindeleza
  • Kushiriki kwenye michakato ya kuandaa na kutoa zabuni zinazohusu uendelezaji wa miundombinu ya umwagiliaji
  • Kusimamia na kufuatilia kazi za ujenzi/ukarabati wa miundombinu
  • Kutoa ushauri juu ya matumizi sahihi ya rasilimali maji ili kuongeza tija yake
  • Kuzuia na kushiriki utatuzi wa migogoro ya wakulima wa umwagiliaji pale inapobidi
  • Kuhamasisha ukusanyaji wa ada ya uendeshaji na matunzo kwa mujibu wa sheria ya umwagiliaji
  • Kusimamia na kuhakikisha wakulima wanatunza na kuendeleleza miundombinu ya umwagiliaji iliyoboreshwa ili iwe endeelevu
  • Kusimamia na kuimarisha vyama vya umwagiliaji kwa kuhakikisha kwamba vinakuwa na uongozi imara kwa mujibu wa katiba zao na sheria za umwagiliaji
  • Kusimamia upatikanaji, uendeshaji na matengenezo ya mitambo na mashine za kilimo kama vile trekta, mashine za kukoboa mpunga na wanyamakazi.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa