Halmashauri ya Wilaya katika kuimarisha sekta ya mifugo na kuongeza kipato kwa wafugaji na wananchi kwa ujumla, yafuatayo yamefanyika kuishia Disemba 2014.
Halmashauri ina mpango wa kuboresha wa ng’ombe wa asili ili kuwa na uzito wenye tija katika soko, ambapo imenunua madume bora 26 ya kuboresha koo safu za Ng’ombe wa asili na kuyasambaza kwa vikundi viwili vilivyopo katika vijiji vya Nyakavangala na Ismani Tarafani. Hadi sasa kuna jumla ya vikundi 6 vilivyonufaika na mpango wa uboreshaji wa Koo - safu za Ng’ombe kwa kutumia madume bora. Vijiji vingine ni Makatapora, Ilambilole, Nyabula na Malinzanga. Jumla ya madume bora 44
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa