Saturday 18th, January 2025
@Siasa ni Kilimo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwakaribisha wananchi wote kuhudhuria Mkutano wa wazi wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa unaotarajiwa kufanyika kesho siku ya Ijumaa ya tarehe 10.05.2019 katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo kuanzia saa nne kamili ya asubuhi.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa