• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Idara ya Elimu Sekondari

IDARA YA ELIMU - SEKONDARI

UTANGULIZI

Idara ya Elimu Sekondari ina jumla ya shule 36 za sekondari, ambapo shule 28 ni za serikali na shule 8 ni za mashirika ya dini na watu binafsi. Idara ina jumla ya wanafunzi 17,727 kwa shule za serikali na wanafunzi 1,695 kwa shule zisizokuwa za serikali. Aidha, Idara kuna jumla ya walimu 940 wa Serikali ambapo miongoni mwao, walimu 745 ni wa masomo ya Sanaa wakati walimu 195 ni wa masomo ya Sayansi, Hisabati na Ufundi. Idadi ya walimu wa masomo ya sanaa inatosheleza mahitaji huku kukiwa na upungufu wa walimu 186 wa masomo ya Sayansi.

Jumla ya vyumba vya madarasa vilivyopo ni 428 miongoni vyumba 467 vinavyohitajika na hivyo kufanya upungufu wa vyumba 45. Aidha nyumba za walimu zilizopo ni 267 miongoni mwa nyumba 968 zinazohitajika na kufanya upungufu kuwa ni nyumba 701. Kwa upande wa vyoo kuna matundu 767 ikiwa matundu ya vyoo 389 ni ya wavulana na matundu ya vyoo 378 ni ya wasichana. Hivyo kuna upungufu wa matundu ya vyoo 175. Matundu ya vyoo vya walimu ni 60 tu, kufanya upungufu wa matundu 24 kwa ajili ya walimu.

SHUGHULI ZA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Pamoja na mambo mengine, Idara ya Elimu Sekondari inajishughulisha na mambo yafuatayo:-

  • Kutekeleza sera za Elimu na mapendekezo katika Shule za Sekondari katika Kata zote.
  • Kutambua mahitaji ya Waratibu Kata, Wakuu wa Shule, Walimu, Watumishi wasio Walimu na Wanafunzi.
  • Kutathimni utendaji wa Waratibu  Elimu Kata na Wakuu wa Shule.
  • Kufuatilia utendaji wa Shule.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli za kielimu katika Shule za Sekondari.
  • Kutoa msaada wa kujiendeleza kitaaluma kwa Walimu walioko katika Shule za Sekondari.
  • Kiungo kati ya Mamlaka za Serikali za Mitaa na ngazi zingine za usimamizi wa Sekretarieti za Mikoa na Wizara.
  • Kusimamia taaluma katika Shule za Sekondari.
  • Kupokea, kugawa na kusimamia matuminzi ya fedha za ruzuku na chakula katika Shule za Sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia ujenzi/ukarabati wa majengo katika Shule za Sekondari na vyuo.
  • Kusimamia na kuthibiti nidhamu ya Watumishi wasio Walimu na Walimu katika Shule za Sekondari.
  • Kuhakisha uwepo wa Vifaa vya kufundisha na kujifunzia pamoja na mazingira rafiki ya kujifunzia katika shule za Sekondari.
  • Kusimamia makusanyo na matumizi ya fedha katika Shule za Sekonadari.
  • Kusimamia uongozi wa Shule za Sekondari zote katika Halmashauri ili kuhakikisha zinawajibika katika maeneo yote ya kiutawala ikiwa ni pamoja na kuendesha vikao vya SMT na Bodi ya Shule kwa mujibu wa sheria.
  • Kuratibu na kusimamia shughuli zote zinazohusu uendeshaji wa mitihani yote ya kitaifa katika ngazi ya Wilaya.
WAKUU WA SHULE                                                  WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI

S/N

JINA LA SHULE

JINA LA MKUU WA SHULE (SHULE ZA SERIKALI)

UMBALI KUTOKA IRINGA MJINI (KM)

NAMBA YA SIMU

1

DIMITRIOS
OTTO MERERE

40

767072036

2

FURAHIA
BENNY MWANDESILE

86

713405897

3

IDODI
CHRISTOPHER MWASOMOLA

80

753825060

4

IFUNDA GIRLS
ZAINA STANLEY SALINGWA

45

763858669

5

IFUNDA TECHNICAL
PAUL MPAMBWE

45

782460670

6

ILAMBILOLE
ALDA MYENZI

40

765389616

7

ISIMILA
FRANK MAHENGE

40

753080790

8

ISMANI
NORBERT C. KALINGA

45

764873044

9

KALENGA
ANNANI KACHENJE

14

767551371

10

KIDAMALI
SIXTUS KANYAMA

29

656455260

11

KIMAIGA
HERI LUKUVI

65

763264594

12

KIPONZELO
LESIYO KISONGA

57

759050790

13

KIWELE
ELIZABETH MALIGA

40

767884095

14

LIPULI
MATHIAS B.KABOGO

10

756418773

15

LUHOTA
GIDEON KIPENGELE

15

655645924

16

LUMULI
GEOFREY HOSSA

50

767264384

17

LYANDEMBELA
ADRIANO NYAKUNGA

45

753979226

18

LYASA
DONALD R. KILUNDO

80

784764092

19

MGAMA
SIMEON LIHULUKU

42

754434155

20

MLOWA
FRANK MAHAI

56

754405923

21

MSEKE
SAMWEL MBILINYI

35

758970688

22

MUHWANA
ALBERTO GANGE

30

755204584

23

NYANG'ORO
LAMBERT MDEKE

55

768007121

24

NYERERE
LAURENT MANGA

100

768711145

25

PAWAGA
YUSUPH ISSA LUVANGA

60

762333012

26

TOSAMAGANGA
DAMAS MGIMWA

15

759167091

27

WASA
FRANK MNYAGANI

80

755708869

28

WILLIAM LUKUVI
CHARLES MGIMWA

53

753835330






WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI (ZISIZO ZA SERIKALI)




S/N

JINA LA SHULE

JINA LA MKUU WA SHULE

UMBALI KUTOKA IRINGA MJINI (KM)

NAMBA YA SIMU

1

DAILY BREAD
PAUWDE MWASANJE

12

754041875

2

DOKAMAN
KENETH ADAM NGELANGELA

12

755978845

3

MAGULILWA
PANKRAS MGONGOLWA

32

754917471

4

MTERA
KELVIN LILAWOLA

120

756251636

5

ST. DOMINIC SAVIO
SR. MATILDA CHUHILA

15

766492953

6

ST. MARYS ULETE
MATHOLINUS KIBUGA

50

765993900

7

ST. THERESIA MIBIKI MITALI
SR. CHRISTABELA LUHWAGO

752344875

8

ST. THOMAS NYABULA
DAMIAN MSILWA

15

758450658

IDADI YA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA SEKONDARI-JANUARI 2016

S/N

SHULE

KIDATO CHA 1

KIDATO CHA 2

KIDATO CHA 3

KIDATO CHA 4

JUMLA KDT 1-4

KIDATO CHA 5

KIDATO CHA 6

JUMLA KDT 5-6

JUMLA KUU

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

1

DIMITRIOS

48

61

109

50

55

105

53

49

102

29

49

78

180

214

394



 



 

 

 

 

180

214

394

2

FURAHIA

105

94

199

95

86

181

41

33

74

21

33

54

262

246

508



 



 

 

 

 

262

246

508

3

IDODI

146

145

291

141

107

248

89

78

167

106

116

222

482

446

928



 



 

 

 

 

482

446

928

4

IFUNDA TECH

160


160

182

0

182

171

0

171

161

0

161

674

 

674

262

118

380

294

125

419

556

243

799

1230

243

1473

5

IFUNDA GIRLS


 



 



 



 

 

 

 


260

260


270

270

 

530

530

 

530

530

6

ILAMBILOLE

70

93

163

44

61

105

29

35

64

24

37

61

167

226

393



 



 

 

 

 

167

226

393

7

ISIMILA

132

112

244

87

134

221

85

120

205

121

123

244

425

489

914


181

181


114

114

 

295

295

425

784

1209

8

ISMANI

65

75

140

62

97

159

52

112

164

53

97

150

232

381

613


87

87



 

 

87

87

232

468

700

9

KALENGA

86

93

179

113

122

235

86

116

202

77

92

169

362

423

785



 



 

 

 

 

362

423

785

10

KIDAMALI

98

121

219

84

110

194

68

83

151

62

73

135

312

387

699



 



 

 

 

 

312

387

699

11

KIMAIGA

36

41

150

22

33

55

30

29

59

13

16

29

101

119

220



 



 

 

 

 

101

119

220

12

KIPONZELO

40

71

111

46

65

111

45

63

108

29

48

77

160

247

407



 



 

 

 

 

160

247

407

13

KIWELE

71

105

176

72

145

217

65

116

181

51

85

136

259

451

710


166

166


93

93

 

259

259

259

710

969

14

LIPULI

110

121

231

44

59

103

35

44

79

28

36

64

217

260

477



 



 

 

 

 

217

260

477

15

LUHOTA

112

154

266

94

117

211

88

132

220

56

89

145

350

492

842



 



 

 

 

 

350

492

842

16

LUMULI

66

83

149

46

48

94

34

39

73

22

36

58

168

206

374



 



 

 

 

 

168

206

374

17

LYANDEMBELA

103

107

210

83

92

175

66

55

121

62

79

141

314

333

647



 



 

 

 

 

314

333

647

18

LYASA

49

49

98

30

30

60

13

20

33

11

17

28

103

116

219



 



 

 

 

 

103

116

219

19

MGAMA

107

124

231

67

84

151

40

84

124

36

66

102

250

358

608



 



 

 

 

 

250

358

608

20

MLOWA

62

115

177

30

42

72

32

24

56

20

27

47

144

208

352



 



 

 

 

 

144

208

352

21

MSEKE

80

120

200

42

70

112

44

57

101

32

45

77

198

292

490



 



 

 

 

 

198

292

490

22

MUHWANA

74

85

159

55

30

85

41

54

95

32

45

77

202

214

416



 



 

 

 

 

202

214

416

23

NYANG'ORO

78

116

194

43

51

94

47

48

95

31

47

78

199

262

461



 



 

 

 

 

199

262

461

24

NYERERE

94

156

250

121

141

262

107

127

234

119

135

254

441

559

1000

149


149

100


100

249

 

249

690

559

1249

25

PAWAGA

87

92

179

83

65

148

63

49

112

45

37

82

278

243

521


70

70



 

 

70

70

278

313

591

26

TOSAMAGANGA


 

0

0

0

0

0

0

0

0

0

 

 

 

397


397

434


434

831

 

831

831

0

831

27

WASA

79

139

218

60

65

125

36

57

93

32

41

73

207

302

509



 



 

 

 

 

207

302

509

28

WILLIAM LUKUVI

94

65

159

58

63

121

39

48

87

40

39

79

231

215

446



 



 

 

 

 

231

215

446

JUMLA   KUU

2252

2537

4862

1854

1972

3826

1499

1672

3171

1313

1508

2821

6918

7689

14607

808

882

1690

828

602

1430

1636

1484

3120

8554

9173

17727

KIDATO CHA 5

KIDATO CHA 6

JUMLA KDT 5-6

JUMLA KUU


ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML

ME

KE

JML




 



 

 

 

 

180

214

394




 



 

 

 

 

262

246

508




 



 

 

 

 

482

446

928


262

118

380

294

125

419

556

243

799

1230

243

1473



260

260


270

270

 

530

530

 

530

530




 



 

 

 

 

167

226

393



181

181


114

114

 

295

295

425

784

1209



87

87



 

 

87

87

232

468

700




 



 

 

 

 

362

423

785




 



 

 

 

 

312

387

699




 



 

 

 

 

101

119

220




 



 

 

 

 

160

247

407



166

166


93

93

 

259

259

259

710

969




 



 

 

 

 

217

260

477




 



 

 

 

 

350

492

842




 



 

 

 

 

168

206

374




 



 

 

 

 

314

333

647




 



 

 

 

 

103

116

219




 



 

 

 

 

250

358

608




 



 

 

 

 

144

208

352




 



 

 

 

 

198

292

490




 



 

 

 

 

202

214

416




 



 

 

 

 

199

262

461


149


149

100


100

249

 

249

690

559

1249



70

70



 

 

70

70

278

313

591


397


397

434


434

831

 

831

831

0

831




 



 

 

 

 

207

302

509




 



 

 

 

 

231

215

446


808

882

1690

828

602

1430

1636

1484

3120

8554

9173

17727


TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA - KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2015

S/Na.

JINA LA SHULE

NAFASI (POSITION)

UFAULU (G.P.A)

ASILIMIA YA UFAULU

WALIOFANYA (SAT)

DARAJA LA 1

DARAJA LA 2

DARAJA LA 3

DARAJA LA 1-3

DARAJA LA 4

WALIOFAULU (PASSED) DARAJA LA 1-4

WALIOSHINDWA (FAIL) DARAJA LA 0

1

ISIMILA

1

3.96

100.0

24

12

11

1

24

0

24

0

2

NYERERE - MIGOLI

2

3.28

100.0

88

8

43

37

88

0

88

0

3

IFUNDA GIRLS

3

3.12

100.0

213

32

64

104

200

13

213

0

4

TOSAMAGANGA

4

2.92

98.6

438

52

113

216

381

51

432

4

5

IFUNDA TECHNICAL

5

2.69

97.2

322

17

82

161

260

53

313

7

JUMLA

99.2

1085

121

313

519

953

117

1070

11

WASTANI WA UFAULU KI-WILAYA

3.19






































 



TATHMINI YA MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA - KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2016

S/Na.

JINA LA SHULE

NAFASI (POSITION)

UFAULU (G.P.A)

ASILIMIA YA UFAULU

WALIOFANYA (SAT)

DARAJA LA 1

DARAJA LA 2

DARAJA LA 3

DARAJA LA 1-3

DARAJA LA 4

WALIOFAULU (PASSED) DARAJA LA 1-4

WALIOSHINDWA (FAIL)

1

ISIMILA

1

3.11

100.0

162

7

106

49

162

0

162

0

2

NYERERE - MIGOLI

2

3.06

100.0

219

20

134

63

217

2

219

0

3

KIWELE

3

3.05

99.0

100

10

63

25

98

1

99

1

4

IFUNDA GIRLS

4

3.40

98.8

423

44

149

209

402

16

418

4

5

TOSAMAGANGA

5

3.59

96.7

454

29

142

239

410

29

439

10

6

IFUNDA TECHNICAL

6

4.04

89.8

453

11

83

241

335

72

407

38

JUMLA

97.4

1811

121

677

826

1624

120

1744

53

WASTANI WA UFAULU KI-WILAYA

3.37

TATHMINI YA MATOKEO NA UFAULU KWA WATAHINIWA WA CSEE 2015 IRINGA DC; KWA KILA SOMO


S/Na.

JINA LA SHULE

CIV

HIST

GEO

KIS

ENGL

PHY

CHE

BIOS

BASIC MATHS


SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS

SAT

PASS


1

St.Mary's Ulete

75

75

75

75

75

75

75

75

75

75

49

49

75

75

75

75

75

75


2

Magulilwa

45

45

45

45

45

45

45

45

45

45

32

24

36

36

45

45

45

40


3

St.Thomas Nyabula

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42

42


4

Ifunda Tech

138

135

0

0

33

32

138

135

138

135

0

0

138

135

105

103

138

135


5

Kimaiga

38

20

38

21

38

32

38

36

38

26

12

12

15

15

38

38

38

1


6

Nyerere Migoli

156

117

156

81

156

69

156

143

156

98

50

40

74

63

156

116

156

29


7

Idodi

312

213

312

153

311

186

312

273

312

209

69

61

111

106

312

247

311

105


8

Pawaga

44

39

44

29

44

30

44

36

44

33

30

10

30

29

44

33

44

9


9

Mtera

118

60

118

42

118

53

118

63

118

54

37

9

37

27

118

63

118

7


10

Dimitrios

55

23

55

21

55

31

55

46

55

36

12

10

15

12

55

21

55

9


11

Dokaman

45

32

45

33

45

34

45

38

45

33

16

6

19

12

45

30

45

4


12

Lipuli

77

38

77

51

77

35

77

65

77

46

31

5

31

22

77

47

77

10


13

William Lukuvi

58

32

58

24

58

36

58

56

58

35

29

9

42

27

58

51

58

8


14

Kiwele

130

85

130

51

130

64

130

117

31

79

36

13

130

33

130

77

130

14


15

Kalenga

162

67

162

38

162

76

162

142

162

63

82

23

105

66

162

93

162

24


16

Isimila

221

140

221

81

221

80

221

156

221

101

33

23

74

59

221

133

221

21


17

Mseke

140

79

140

70

140

67

140

107

140

86

41

8

41

27

140

67

140

12


18

Isimani

183

95

183

51

183

89

183

157

183

84

56

14

65

57

183

106

183

23


19

Furahia

81

70

81

27

81

28

81

71

81

35

19

16

32

27

81

42

81

3


20

Kiponzelo

90

50

90

26

90

30

90

81

90

43

44

3

44

14

90

41

90

3


21

Kidamali

133

49

133

52

133

64

133

103

133

60

28

21

34

25

133

57

133

24


22

Ilambilole

77

38

77

32

77

30

77

55

77

33

19

5

22

10

77

37

77

3


23

Mlowa

45

22

51

16

51

18

45

38

45

14

8

3

19

5

51

19

45

3


24

Lumuli

50

16

50

12

50

20

50

39

50

22

25

2

25

13

50

29

50

3


25

Lyandembela

133

47

133

36

133

45

133

114

133

64

50

6

50

22

133

51

133

4


26

Wasa

91

44

91

19

91

39

91

66

91

49

12

2

18

10

91

47

91

13


27

Muhwana

108

44

108

23

108

44

108

87

108

43

39

6

39

21

108

53

108

5


28

Mgama

146

77

146

40

146

47

146

105

146

77

44

7

101

18

146

53

146

10


29

Luhota

163

65

163

43

163

49

163

119

163

76

41

3

41

22

163

73

163

2


30

Lyasa

47

21

47

9

47

15

47

39

47

19

29

0

29

6

47

16

47

0


31

Nyang'oro

44

20

44

12

44

12

44

26

44

7

9

1

44

8

44

12

44

2



Jumla

3247

1900

3115

1255

3147

1517

3247

2675

3148

1822

1024

433

1578

1044

3220

1917

3246

643



% ya UFAULU

58.50%

40.30%

48.20%

82.40%

57.90%

42.30%

66.20%

59.30%

19.80%













































UFAULU WA JUMLA FORM 2 MOCK 2016

 

S/Na.
JINA LA SHULE
UFAULU WA JUMLA
NAFASI KI-WILAYA

ST. DOMINIC SAVIO

76.3



ST. MARY’S ULETE

71.3



MAGULILWA

64.0



ST. THERESE - MIBIKI MITALI

63.1



IFUNDA TECHNICAL

52.2



ST. THOMAS - NYABULA

48.0



NYANG’ORO

42.5



DOCKMAN

38.0



ILAMBILOLE

37.7



MLOWA

32.2



MUHWANA

31.7



NYERERE - MIGOLI

31.1



LIPULI

30.5



DIMITRIOS

29.8



PAWAGA

29.5



MTERA

29.0



ISIMANI

28.9



KIWELE

28.1



IDODI

28.0



WASA

27.4



KALENGA

27.2



KIPONZELO

27.1



KIDAMALI

27.0



LUHOTA

26.7



LUMULI

26.0



WILLIAM LUKUVI

25.2



MSEKE

24.9



LYANDEMBELA

24.77



KIMAIGA

24.75



MGAMA

23.45



FURAHIA

23.44



LYASA

22.8



ISIMILA

21.4


 

N.B: Hakuna uhalisia wa moja kwa moja wa ufaulu/matokeo haya kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kila shule kujitegemea kudurufu mitihani yao kulingana na idadi ya wanafunzi, usimamizi na usahihishaji wa kujitegemea badala ya umoja n.k. (Refer to Validity and Reliability effect).

          Badala yake, kwa siku zijazo tunapendekeza itafutwe namna ya kudurufu mitihani ya shule zote kwa pamoja, kusimamia, kuchakata matokeo hadi kufanya tathmini ya pamoja.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa