• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji

IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI

UTANGULIZI

Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ni moja kati ya idara 13 na Vitengo 6 vinavyounda Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Idara hii ina jumla ya watumishi 9 wakiwamo Wachumi watano (4), Watakwimu wawili (2), Katibu Muhtasi mmoja (1), Msaidizi wa Ofisi mmoja (1) na Dereva mmoja (1).

Idara hii ni kiungo muhimu kwa ustawi wa Halmashauri na inatekeleza majukumu yafuatayo;

  • Kuanzisha, kuhimiza, kushauri na kuratibu mchakato wa uandaaji wa mipango na bajeti ya kila mwaka ya Halmashauri ya Wilaya kuanzia ngazi ya Vijiji, Kata na Wilaya na kuhakikisha upangaji wa mpango wa Halmashauri unaanzia ngazi ya chini kwenda juu (“bottom up approach”)
  • Kuwezesha vijiji vya Halmashauri ya Wilaya kutekeleza mipango au miradi ya maendeleo katika maeneo yao kupitia fedha ya ruzuku ya serikali ya kila mwaka.
  • Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri juu ya vipaumbele vya Halmashauri ya wilaya kwa ajili ya utekelezaji wa kila mwaka kulingana na kanuni na miongozo inayotolewa kila mara na serikali.
  • Kushirikiana na Wakuu wa Idara katika kuona kuwa Halmashauri ya Wilaya inayatimiza majukumu yake ya kutoa huduma za kijamii na kiuchumi kwa wananchi.
  • Kuratibu uandaaji wa taarifa mbalimbali za maendeleo na kuziwasilisha kwa viongozi wa mkoa na Taifa wanaotembelea Halmashuri yetu.
  • Kuratibu ukusanyaji wa takwimu, shughuli za utafiti na kutunza kumbukumbu hizo kwa matumizi ya Halmashauri ya Wilaya.
  • Kufanya ufuatiliaji na tathmini (M & E) ya hali ya utekelezaji wa miradi na shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Halmashauri kila robo mwaka, kuandaa taarifa na kushauri kulingana na hali ilivyo;
  • Kushauriana na asasi zisizo za kiserikali juu ya aina ya shughuli zinazotekelezwa na maeneo ya utekelezaji ili kuhakikisha matumizi mazuri ya rasilimali zilizopo.
  • Kuratibu zoezi la uandaaji wa mpango mkakati wa Halmashauri ya Wilaya wa miaka mitano (5) na kufuatilia utekelezaji wake kwa kipindi husika na
  • Kuratibu na kushauri utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofadhiliwa na wahisani.

 

Dira ya Halmashauri:

Kuwa na jamii inayoishi maisha bora na endelevu 

Dhima ya Halmashauri:

Kutoa huduma bora kwa jamii kupitia matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo kwa maendeleo endelevu ya wananchi.

 

 

Malengo ya Halmashauri:

  • Uboreshaji huduma na kupunguza maambukizi ya VVU katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
  • Utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa mapambano dhidi ya rushwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uboreshaji wa upatikanaji na utoaji wa huduma bora za jamii kwa usawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uongezaji wa huduma bora za kijamii na kimiundombinu katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uimarishaji wa Utawala bora na Sheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uendeshaji na ushirikishwaji wa wadau na jamii katika mchakato wa kuandaa mipango na kutekeleza shughuli za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uboreshaji wa utunzaji endelevu wa maliasili na Mazingira katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
  • Uboreshaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

Maadili ya taasisi (Core values)

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa katika utekelezaji wa Mpango mkakati wake inazingatia mambo yafuatayo:-

  • Ufanyaji kazi kwa ufanisi (Diligence & Integrity)
  • Ufanyaji kazi kwa pamoja (Team spirit)
  • Kuwasikiliza Wateja kwa ukaribu (Customer focus with courtesy)
  • Uwajibikaji (Accountability)
  • Kujiendeleza kimafunzo (Continuous learning)
  • Kujiandaa kwa Majanga na Dharula (Disaster preparedness)

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa