• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kitengo cha Sheria

 KITENGO CHA SHERIA 

Kitengo cha Sheria cha Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ni miongoni mwa Idara na Vitengo vya Halmashauri. Kitengo hiki, kina watumishi watatu wakiongozwa na Wakili Kissah Martin Mbilla. Watumishi wengine ni Wakili Mohamed Mgimwa and bwana Evaristo Myovela. Kitengo kinashughulika bila ukomo na mambo yafuatayo:

WAJIBU WA KITENGO CHA SHERIA

  • Kuiwakilisha Halmashauri Mahakama Kuu na mahakama zilizo chini yake isipokuwa Mahakama ya Mwanzo katika mashauri mbalimbali ya kimadai au, na ya kijinai ambayo Halmashauri ni mmoja baina ya wadaawa.
  • Kutengeneza Sheria Ndogo za Halmashauri, kuzisajiri na kusimamia utekelezaji wake.
  • Kuwezesha utengenezaji wa Sheria Ndogo za vijiji na kusimamia upitishwaji wake katika vikao husika na Baraza la Madiwani wa Halmashauri.
  • Kuwezesha mafunzo kwa wajumbe wa Mabaraza ya Kata na Vijiji juu ya uendeshaji wa mashauri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu.
  • Kuandaa mikataba na nyaraka za kisheria za Halmashauri.
  • Kupekua Mikataba mbalimbali ambayo Halmashauri inaingia kwa mujibu wa ukomo wa kisheria.
  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa Halmashauri.
  • Kutoa mafunzo ya ufahamu wa sheria kwa madiwani wa Halmashauri.
  • Kutoa elimu ya ufahamu wa sheria kwa wafanyakazi wa Halmashauri kuhusiana na haki na wajibu wao kama watumishi kwa Mwajiri.
  • Kuhakikisha kwamba, sheria, Kanuni na Miongozo inayotolewa na Serikali inafuatwa na Halmashauri.

Matangazo

  • EID - AL- ADHA MUBARAK June 07, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MANENO MAZITO YA MHE. MHAPA WAKATI WA KUVUNJA BARAZA

    June 19, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA NNE

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA NNE 2024/2025 WAFANYIKA

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa