• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Miradi iliyokamilika


MIRADI INAYOFANYIKA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea fedha za miradi ya UVIKO – 19, na kutatua kero ya upungufu wa madarasa katika shule mbalimbali. Kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 Miradi mingi imefanyika katika Idara ya Elimu Sekondari, kwa fedha za UVIKO – 19. Shule zilizonufaika na fedha za UVIKO 19 ni:- 

  • Shule ya Sekondari Dimitries yamejengwa madara mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari  Furahia limejengwa darasa moja, limetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Ilambilole yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Isimani yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Isimila yamejengwa madarasa manne yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Luhota yamejengwa darasa moja, yametumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Muhwana yamejengwa madarasa matatu, yametumia kiasi cha Tsh. 60,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mlowa yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kiponzero yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Lipuli yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kimaiga yamejengwa madarasa matatui, yametumia kiasi cha Tsh. 60,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kiwele yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Idodi yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Wasa yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari William Lukuvi yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Pawaga yamejengwa madarasa mannei, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Nyerere yamejengwa madarasa matatu, yametumia kiasi cha Tsh. 60,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Nyang’oro yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Izazi yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Makifu yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Tananzogzi yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kalenga yamejengwa madarasa manne, yametumia kiasi cha Tsh. 80,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kidamali yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mgama yamejengwa darasa moja, limetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Lumuli yamejengwa madarasa mawili, yametumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=

Katika Mradi huu, Jumla ya fedha kiasi cha Tsh. 1,320,000,000/= kimetumika katika ujenzi wa Mradi wa UVIKO – 19. (Ujenzi wa majengo haya umekamilika tangu Januari, 2022)

 

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wameweza kujenga shule mpya katika Kata mbili.  Wadau hao ni SEQUIP.  

  • Ujenzi wa Shule mpya Kata ya Luhota ambao umetumia kiasi cha Tsh. 470,000,000/=
  • Ujenzi wa shule mpya Kata ya Mlenge ambao umetumia kiasi cha Tsh. 470,000,000/=
  • Katika mradi him Jumla ya fedha kiasi cha Tsh. 940,000,000/= kimetumika katika mradi huu. (Ujenzi unaendelea unategemewa kumalizika ifikapo Juni, 2022)

Umaliziaji wa Maboma ya Madarasa katika Shule 10 kwa fedha za Serikali Kuu

  • Shule ya Sekondari Idodi imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Ilambilole imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kimaiga imetumia kiasi cha Tsh. 40,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kalenga imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Kiwele imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Luhota imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Makifu imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Muhwana imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Nyang’oro imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Tanangozi imetumia kiasi cha Tsh. 20,000,000/=
  • Jumla ya fedha zilizotumika katika umaliziaji wa maboma ya madarasa haya ni kiasi cha Tsh. 220,000,000/= (Ujenzi unaendelea, unategemewa kumalizika ifikapo Juni, 2022)

Umaliziaji wa Maboma ya Maabara katika Shule za Sekondari Kupitia Fedha za Serikali Kuu

  • Shule ya Sekondari Kidamali imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Lumuli imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mgama imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Isimila imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mlowa imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Wasa imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mseke imetumia kiasi cha Tsh. 30,000,000/=
  • Jumla ya fedha zilizotumika katika umaliziaji wa maboma ya madarasa haya ni kiasi cha Tsh. 210,000,000/=. Ujenzi unaendelea, unategemewa kumalizika ifikapo Juni, 2022)

Ujenzi/Umaliziaji wa Madarasa kwa Fedha za Tozo katika Shule za Sekondari

  • Shule ya Sekondari Kalenga imetumia kiasi cha Tsh. 12,500,000/= (Ujenzi umekamilika)
  • Shule ya Sekondari Isimila imetumia kiasi cha Tsh. 12,500,000/=
  • Shule ya Sekondari Luhota imetumia kiasi cha Tsh. 12,500,000/=
  • Shule ya Sekondari Kiwele imetumia kiasi cha Tsh. 12,500,000/=
  • Shule ya Sekondari William Lukuvi imetumia kiasi cha Tsh. 25,000,000/=
  • Shule ya Sekondari Mlowa imetumia kiasi cha Tsh. 25,000,000/=
  • Jumla ya fedha zilizotumika katika umaliziaji wa maboma ya madarasa haya ni kiasi cha Tsh. 100,000,000/=
  • Ujenzi wa majengo yote haya unatarajiwa kumalizika ifikapo June, 2022

Miradi Iliyokamilika kwa mwaka wa Fedha 20212022.xls

 




Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa