• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Afisa Mipango wa Wilaya ya Iringa Bw. Wapa Mpwehwe akiwasilisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2022/2023

Imewekwa : February 11th, 2022

Madiwani walidhia na kupitisha rasimu ya Mpango wa Mapato na Matumizi ya 65,896,915,013.32 kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Ummi Mohamed (Afisa Habari na Uhusiano,Iringa –DC)

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Iringa jana Februari 10 limeridhia na kupitisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka fedha 2022/2023 ambapo Halmashauri inatarajia kutumia Bilioni 65.896 kwa ajili ya shughuli mbalimbali za uendeshaji na miradi.

Taarifa hiyo ilisomwa na Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bw.Wapa Mpwehwe kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji kwa Baraza la Waheshiwa Madiwani ambapo wajumbe walijadili taarifa hiyo na kuipitisha.

Pamoja na kuipitisha rasimu hiyo ya Mpango wa Bajeti walishauri maboresho mbalimbali kuhusu namna ya kuongeza vyanzo vya mapato ili kuwezesha Halmashauri kukusanya na kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato.

Akichangia hoja Diwani wa Kata ya Ilolompya Mh. Fundi Mihayo alianza kwa kuipongeza serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mh. Samia Suluhu Hassain kwa kupunguza na kuondoa kero kubwa ya vyumba vya madarasa kupitia mradi wa No.5441 TCPR.

“Tunamshukuru sana kwa kweli imepunguza changamoto ya uhaba wa vyumba vya madarasa kwa mwaka huu wa masomo 2022 hususani kwa shule za msingi ambapo baadhi ya watoto wamekuwa wakitembea umbali mrefu, na yeye ameliona hilo na kutoa fedha za kujenga shule shikizi”alisema.

Aidha,Waheshimiwa Madiwani wametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji na Watumishi wote kwa ujumla kwa kufanya kazi nzuri husasani Idara ya Ujenzi ambapo walisema pamoja na upungufu wa Wahandisi bado wameweza kusimamia kazi na kutoa ushauri kwa wakati kwa mafundi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAHILI October 27, 2023
  • ZIARA YA MKUU WA MKOA WA IRINGA December 14, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - MBOMIPA March 18, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI MBOMIPA WMA April 11, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mafuriko Migoli

    December 06, 2023
  • Baraza la Wafanyakazi Lafanyika

    December 05, 2023
  • Baraza la Wafanyakazi Lafanyika

    December 05, 2023
  • JAMII YAKUMBUSHWA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI

    December 01, 2023
  • Tazama zote

Video

MATIBABU YA VIKOPE YATOLEWA IGODIKAFU
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Gangilonga

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0767778106

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa