• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC KHERI AFUNGUA MAFUNZO YA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA

Imewekwa : January 18th, 2025


Asema, “Ni lazima wanaopewa nafasi za kutumikia umma wajengewe uwezo wa kuifahamu katiba, sheria, kanuni, taratibu, na miongozo inavyosema ili maneno yao na matendo yao yasipingane na msingi wa kuanzishwa kwa ofisi zao”.

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe Kheri James amefungua mafunzo ya wenyeviti wa vijiji na vitongoji yaliyofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari ya wasichana Ifunda Januari 18, 2025.

Mhe. Kheri James amewataka wenyeviti hao kuwa wasikivu ili waweze kuelewa mipaka ya kazi na majukumu yao katika utendaji. Na kusisitiza kuwa lengo la mafunzo haya ni kutaka kuona serikali za mitaa zinafahamika vema, uongozi na utawala bora, miradi shirikishi na ushirikishwaji wa wananchi katika kuibua miradi na usimamizi wake, usimamizi wa fedha, na usimamizi wa masuala ya ardhi.

Aidha Mhe. Kheri amekumbusha kuwa maeneo yote ambako kuna migogoro ni maeneo ambayo sheria haifuatwi na ufumbuzi wake ni mafunzo kama haya yanayotolewa  kwa viongozi.

Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bi Beatrice Augustino amewashukuru wakufunzi wanaotoa mafunzo hayo sambamba na wenyeviti wa vijiji na vitongoji kwa mafunzo na kuwataka wenyeviti baada ya mafunzo kufanya kazi kwa ushirikiano na watendaji wa vijiji.

Mafunzo kwa wenyeviti wa vijiji na vitongoji yanayoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma yanafanyika kwa siku mbili katika jimbo la kalenga na Isimani, tarehe 18 Januari, 2025 hadi 19 Januari, 2025.

Matangazo

  • PONGEZI June 24, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MANENO MAZITO YA MHE. MHAPA WAKATI WA KUVUNJA BARAZA

    June 19, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA NNE

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA NNE 2024/2025 WAFANYIKA

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa