• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Moyo Akabidhi Ofisi kwa Mhe. Kessy

Imewekwa : February 3rd, 2023

DC Moyo Akabidhi Ofisi kwa Mhe. Kessy

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo amemkabidhi ofisi Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Veronica Keasy na kumueleza changamoto ambazo anatakiwa kuzifanyia kazi.

Mhe. Moyo aliwaomba Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, Watumishi wa Halmashauri zote za Wilayani humo pamoja na Wananchi kumpa ushirikiano Mkuu Wilaya ya Iringa  Mhe. Kessy. Akieleza kuwa mafaniko aliyoyapata kwa kipindi alichokaa Iringa ni matunda ya ushirikiano waliompatia, hivyo ni muhimu wakaendeleza ushirikiano huo kwa Mkuu huyo wa Wilaya.

"Kwa kweli sina neno zaidi ya kuwashukuru, Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, Watumishi wa Halmashauri zote, Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Wananchi hakika nimefanyakazi nanyi Kwa mafanikio. Nawaomna ushirikiano mlionipa muuendeleze pia kwa Mkuu wenu wa Wilaya wa sasa ambaye nimemkabidhi kijiti" Alisema Mh. Moyo.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Iringa Veronica Kessy mara baada ya kukabidhiwa ofisi, ameahidi kuendeleza miradi iliyoachwa na mtangulizi wake na kusisitiza ushirikiano, kwani Ofisi yake iko wazi kupokea ushauri wenye lengo la kujenga na kuoletea maendeleo zaidi Wilaya hiyo.

Mh. Kessy alitumia nafasi hiyo pia kumshukuru Mhe. Rais kwa kuendelea kuwaamini yeye na mtangulizi wake Mh. Moyo kwa kuwapa nafasi tena ya kuwa Wakuu wa Wilaya, kuwa Imani waliyopewa ni deni kwa Mh. Rais, hivyo ni wajibu wao kumsaidia kikamilifu katika kufanikisha malengo ya Serikali katika kuwaletea maendeleo wanachi wake.

Kufuatia uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya na mabadiliko ya Vituo vya kazi kwa baadhi ya Wakuu wa Wilaya, Mh. Moyo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa kwa sasa amekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi na Veronica Kessy aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa