• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Emanuel International Mkombozi kwa Wananchi wa Mafuluto

Imewekwa : May 15th, 2024

Emanuel International, Mkombozi wa Wananchi Mafuluto

Shirika la Emanuel International limewakomboa wananchi wa Kijiji cha Mafuluto Kata ya Mlowa na Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolompya baada ya kuwajengea daraja/kifuko la waenda kwa miguu.

Shirika hilo ambalo lipo chini ya Kanisa la Anglikana Tanzania, lenye Makao yake Makuu nchini Uingereza limetoa msaada huo wa ujenzi wa kivuko hicho baada ya wananchi wa Kijiji hicho kuhatarisha maisha yao, na baadhi ya watu kupotea katika mto na wengine kuliwa na mamba, ambapo mto huo unaunganisha vijiji viwili vya Mafuluto na Luganga.

Akitoa shukrani katika hafla fupi ya kukabidhi daraja hilo ambayo imafenyika Mei 15, 2024 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Askofu Dkt. Joseph Mgomi ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika shughuli hiyo amesema, “namshukuru Mkurungenzi wa Iringa kwa kukubali kuja hapa pia nawashukuru Emanuel International kwa kutujengea daraja hili ambapo limekuwa msaada mkubwa wa wananchi hawa. Kanisa letu japo lihahubiri Injili lakini tumekuwa tukisaidia mambo mbalimbali kwa jamii kama ujenzi huu wa daraja. Hii inatuweka Kanisa kuwa karibu na Serikali, na Serikali kuwatambua Wadau wake”.

Pia Emanuel Internationa wanatengeneza majiko banifu ambayo yanatumia kuni kidogo na kuhifadhi mazingira.

Akitoa taarifa ya mradi huo Mhandisi wa Ujenzi ambaye alisimamia ujenzi huo Ndugu Andy Sharpe amesema, “haikuwa rahisi hadi kufika hapo ambapo daraja linaonekana, ujenzi ulikuwa mgumu na ikatupasa kuagiza baadhi ya vifaa nje ya nchi. Ujenzi ulianza Oktoba 05 na kukamilika Novemba 2023”.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndugu Robert Masunya amelishukuru Shirika na Kanisa kwa ujumla na kuwaomba wananchi kulitunza daraja hilo, kwani daraja hili litaleta Amani na kujenga mahusiano mazuri kati ya vijiji hivi viwili, Kata hizo mbili na Tarafa hizo mbili. Pia ameagiza Watendaji wa Kata wahamasishe wananchi kuchangia kidogo fedha ili ikitokea uharibufu wowote iwe rahisi kurekebisha kwa kipato hicho kitakachopatikana.

Ndugu Masunya na kuwakaribisha tena na tena Emanuel International Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

 

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMPUNI YA CC AIRWELL KUWEKEZA UVUNAJI WA MAJI ANGANI NA HEWA UKAA IRINGA DC

    May 29, 2025
  • BURIANI MHE. FELIX WAYA

    May 26, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 24, 2025
  • KIJIJI KWA KIJIJI YATUA KATA YA KIWELE, ULANDA NA NZIHI

    May 22, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa