• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Iringa DC Watoa Zawadi kwa Wagonjwa Hospitali ya Mkoa Iringa

Imewekwa : December 8th, 2022

Iringa DC Watoa Zawadi kwa Wagonjwa Hospitali ya Mkoa Iringa

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wametembelea na kutoa zawadi kwa wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa 8.12.2022, Ikiwa ni muendelezo wa kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Idara ya Utumishi Bibi Beatrice Augustine amesema zoezi hilo limeratibiwa na Mkurugenzi Mtedaji Wakili Bashir Muhoja ambaye alipendekeza kwa Watumishi kuwa kuwepo na mchango kwa lengo la kuwatembelea wagonjwa na kuwapatia kile kilichopatikana.

“Zoezi hili ni la kujitolea na tunamshukuru Mkurugenzi wetu kwa kuratibu hili ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania.”

Aidha amesema kuwa zoezi hilo halitaishia hapo bali litakuwa na muendelezo kwa siku zijazo kwani amevutiwa na kushawishika na kilichotokea na kuahidi kuwa watafanya vizuri zaidi kwa wakati mwingine.

Pia ameushukuru uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa kwa mapokezi mazuri na ya kupendeza kwani zoezi limefanikiwa kwa kiasi kikubwa na hakukuwa na changamoto yoyote ile bali ushirikiano mkubwa waliouonesha kwa kipindi chote walipokuwa hospitalini hapo.

Kadhalika ametoa rai kwa Taasisi na Watu binafsi kuendelea kufanya matendo ya majitolea kwa wahitaji kwani kwa kufanya hivyo basi pia Baraka za Mungu zitawafuata.

“Rai yangu kwa Taasisi na watu binafsi waje pia kuungana na wahitaji hata kama ni kwa kitu kidogo lakini kwa wahitaji ni kikubwa sana, inaweza isiwe hospitalini tu kuna vituo vyingi vya wahitaji, waende wapeleke majitoleo yao huko na Mungu atawaongezea.”

Wakiongea kwa nyakati tofauti tofauti baadhi ya Wagonjwa waliofikiwa na majitoleo hayo wameshukuru sana na kuwaomba kuendelea kuwakumbuka wagonjwa kama walivyofanya leo.

Kilele cha maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru yaani tarehe 09.12.l2022 Kiwilaya yatafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa (Siasa ni Kilimo)  huku kukitarajiwa kuwepo kwa Mdahalo utakaohusisha kujadili, kutafakari kwa pamoja na kukumbuka tulikotoka, tulipo na tunakoelekea kuhusu Maendeleo Endelevu ambayo Nchi yetu adhimu Tanzania imeyafikia.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa