Kamati ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imefanya ziara ya kukagua eneo la uwekezaji Boma la ng'ombe kupitia kampuni ya Bomalang'ombe Village Co. Ltd mapema Mei 14, 2025.
Kamati imefika na kukagua eneo na vifaa vilivyopo ikiwa ni maandalizi ya kuboresha uwekezaji huo ambao wabia wengine ni kijiji cha Bomalang'ombe wilayani kilolo
@ortamisemi @investingclubtz
https://www.instagram.com/p/DJqU6EisMkY/?igsh=MTd5NmloNWQ4OXU0cw==
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa