• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA IRINGA VIJIJINI YAKAMILISHA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI IRINGA DC

Imewekwa : August 24th, 2023

Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Iringa yakamilisha ziara kukagua utekelezaji wa Ilani Iringa DC

Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi Iringa vijijini yakamilisha ziara yake siku ya pili tarehe 22.08.2023 kukagua utekelezaji wa Ilani kwenye tarafa ya Isimani, na Pawaga – Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Miradi iliyokaguliwa ni;

  • Ujenzi wa Zahanati ya Kinywang’anga katika kata ya Kising’a. kazi zilizofanyika ni ujenzi wa jengo la Zahanati, miundombinu ya vyoo na mnara wa tanki la maji. Mradi umekamilika kwa gharama ya Tsh. 193,897,000/- ambapo katika kiasi hicho wananchi wamechangia 47,000,000/-na huduma imeanza kutolewa.
  • Ujenzi na umaliziaji wa matundu ya vyoo matundu 16, ujenzi wa kichomea taka, ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua, miundombinu ya kunawia mikono, kichomea taka na mnara wa tanki la maji katika shule ya msingi Ndolela. Kazi inaendelea na hatua iliyopo ni umaliziaji. Mradi umegharimu kiasi cha Tsh. 37,987,539.82/-.
  • Ujenzi wa daraja la mawe na ujenzi wa barabara ya Ngano – Igula (km 4). Kazi imekamilikakwa asilimiamia moja na miundombinu ipo kwenye matumizi. Mradi huu ni sehemu ya miradi mingine iliyokuwa na bajeti ya Zaidi ya milioni 600.
  • Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji ya Mkombozi uliopo katika tarafa ya Pawaga. Mradi huu una thamani ya Tsh. Bilioni 55 kazi inaendelea ya kujenga banio na mifereji ya maji.
  • Mradi wa maji Makatapola – Mbweleli katika kata ya Migoli. Mradi umekamilika na kwa asilimia mia moja na wananchi wanaendelea kupata huduma ya maji safi. Mradi umegharimu kiasi cha Tsh. Bilion 1.8 hadi kukamilika
  • Mradi wa ufugaji wa Mbuzi kwa kikundi cha Nanyolai katika kijiji cha Makatapola kata ya Migoli. Kikundi kilianza na mbuzi 20 kwa na baadaye kupewa mafunzo na kupatiwa mbuzi kupitia mradi wa utuzaji wa mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais 95 wenye thamani ya Tsh. 10,000,000/-. Mradi unaendelea vema ambapo hadi sasa mbuzi wamefikia 189.

Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa Ilani kupitia miradi iliyotembelewa. Aidha Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa Vijijini ndugu Costantino kihwele ametoa pongezi kwa viongozi na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na kwa taasisi zingine za serikali kwa kazi kubwa inayofanywa na kutoa Wito wa kutunzwa kwa wannchi kuitunza ili ilete matokeo kusudiwa.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMPUNI YA CC AIRWELL KUWEKEZA UVUNAJI WA MAJI ANGANI NA HEWA UKAA IRINGA DC

    May 29, 2025
  • BURIANI MHE. FELIX WAYA

    May 26, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 24, 2025
  • KIJIJI KWA KIJIJI YATUA KATA YA KIWELE, ULANDA NA NZIHI

    May 22, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa