Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa imefanya ziara kukagua miradi na utekelezaji wa Ilani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mei 16, 2025.
Kakizungumza wakati wa ziara hiyo Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndg. Daudi Yasini amesema, wanaridhishwa sana na utekelezaji wa miradi ikiwa pia ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ambapo hatua hadi wakati huu ni asilimia 99 ya utekelezaji na hivyo kuwapongeza viongozi na wananchi.
Miradi iliyotembelewa ni ujenzi wa nyumba ya walimu 2 in 1, na ujenzi wa mabweni mawili shule ya sekondari Weru, ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Ugwachana, na mradi wa maji Ifunda utakaowanufaisha wakazi zaidi ya 10,000.
https://www.instagram.com/p/DJv63DUMfxn/?igsh=MWtpaHpsZ2NiYWdxcQ==
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa