• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KAMPUNI YA CC AIRWELL KUWEKEZA UVUNAJI WA MAJI ANGANI NA HEWA UKAA IRINGA DC

Imewekwa : May 29th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, amepokea Ugeni wa Kampuni ya CC AIRWELL kutoka Nchi ya Austria Barani Ulaya wenye lengo la kuwekeza katika Kuvuna Maji Safi kutoka Angani Kwa Teknolojia ya Kisasa, pamoja na Uhifadhi wa Mazingira katika maeneo yanayokabiliwa na hali ya ukame ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Mmiliki na mwanzilishi wa kampuni ya CC AIRWELL, Wolfgang Rainer Fuchs, amesema Kampuni hiyo inajishughulisha na uhifadhi na urejeshwaji wa mazingira katika maeneo yanayokabiliwa na hali ya Ukame ikiwemo maeneo ya jangwa kwa kuzalisha maji safi kwa ajili ya matumizi ya binadamu, mazingira, ikolojia na maendeleo ya kiuchumi kwa kutumia teknolojia mpya ya uvunaji wa maji yaliyo katika hewa angani.


Fuchs ameeleza zaidi akisema kuwa Kampuni hiyo inatarajia kujenga mitambo yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ikiwa na lengo la kuzalisha maji na kuyasambaza katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Iringa ikiwemo mbuga ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha.


Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, ameeleza kuwa Kampuni hiyo itafanya Uwekezaji Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya hiyo kusaidia katika Uvunaji na Usambazaji wa Maji takribani Lita Milioni 260 Kwa Mwaka kutoka angani Kwa ajili ya Matumizi ya Binadamu, sambamba na utunzaji wa Mazingira Kwa kuvuna Hewa ya ukaa.


"Maeneo yatakayohusika ni Yale ambayo Kwa Sasa yanakabiliwa na ukame kama maeneo ya Izazi, Mboliboli, Migoli, Itunundu, lakini Kipekee wameichagua Izazi kuwa Sehemu ya kuanzia, Wilaya ya Iringa tupo tayari kuhakikisha Mazingira yanatunzwa na Huduma za Maji zinazidi kuboreshwa na kusogezwa Karibu na Wananchi" - Amesema DC Kheri James.


#iringaimaratutaijengakwaumojanauwajibikaji

https://www.instagram.com/p/DKQLSyAtZjd/?igsh=MWt1d3o1cGQ0M2d1Zw==

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • KAMPUNI YA CC AIRWELL KUWEKEZA UVUNAJI WA MAJI ANGANI NA HEWA UKAA IRINGA DC

    May 29, 2025
  • BURIANI MHE. FELIX WAYA

    May 26, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 24, 2025
  • KIJIJI KWA KIJIJI YATUA KATA YA KIWELE, ULANDA NA NZIHI

    May 22, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa