Maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa yaliyofanyika kiwilaya katika viwanja vya shule ya msingi Igingilanyi, kata ya Kising'a Iringa dc Novemba 24, 2025.
Ujumbe mkuu katika maadhimisho haya ni msisitizo juu ya lishe bora inayozingatia makundi sita ya vyakula ili kupunguza hatari ya magonjwa yasiyo ambukizwa kama vile saratani na shinikizo la damu.







Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa