• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023

Imewekwa : March 14th, 2023

Maandalizi ya Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023

Mwenge wa Uhuru unategemewa kupokelewa Mkoani Iringa Wilayani Mufindi tarehe 01/05/2023. Mwenge huo utakabidhiwa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa 02/05/2023 na kukimbizwa maeneo mbalimbali.

Katika kufanya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge huo, Kamati ya Menejimenti imefanya ziara kukagua njia na miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru.

Pamoja na maandalizi haya, yawezekana kukawa na mabadiliko kwani hii ni hatua ya awali katika maandalizi na kuona njia zinazofaa kwa ajili ya kukimbiza Mwenge wa Uhuru.

Kituo cha Kwanza:

  • Mwenge wa Uhuru utapokelewa katika viwanja vya Shule ya Msingi Ulete iliyopo Kijiji cha Muwimbi Kata ya Lumuli

Kituo cha Pili:

  • Shule ya Sekondari Lyandembela iliyopo Kijiji cha Ifunda Kata ya Ifunda, Mwenge utakagua mradi wa Bweni la Wasichana, Klabu ya Kupinga Madawa ya Kulevya, Klabu ya Kupinga Rushwa na kisha zoezi la kunywa chai.

Kituo cha Tatu:

  • Mwenge utakagua mradi wa bwawa la maji safi lililopo Kata ya Masaka

Kituo cha Nne:

  • Mwenge utafanya zoezi la upandaji miti katika vyanzo vya maji, Kijiji cha Kikombwe au Kijiji -cha Ifunda ambapo mradi unasimamiwa na RUWASA

Kituo cha Tano:

  • Mwenge utakagua ujenzi wa Kituo cha Afya Magulilwa Kata ya Magulilwa

Kituo cha Sita:

  • Mwenge utakagua mradi wa Ghala la Kuhifadhia Chakula lililopo Kijiji cha Tagamenda Kata ya Luhota

Kituo cha Saba:

  • Kijiji cha Ugwachanya (Njiapanda ya Tosamaganga) kupata chakula cha mchana

Kituo cha Nane:

  • Mwenge utaelekea kijiji cha Ifunda Kata ya Ifunda kwa chakula cha usiku na mkesha

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa