Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Bi. Doris Kasala Juni 12, 2024 ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa kukagua na kutembelea miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Ikumbukwe kuwa, Mwenge wa Uhuru utapokelewa kutoka Halamashauri ya Manispaa ya Iringa Juni 26, 2024 na baadaye kukibidhiwa Mkoa wa Dodoma Juni 27, 2024.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa