Hatimaye mmoja wa mamba waliokuwa wanasumbua wananchi (Wavuvi) katika bwawa la Mtera, amenasa Januari 13, 2024 amenasa katika mtego waliotegewa. Msako wa mamba hao bado unaendelea.
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa