Famili ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa inaungana na wana Igunga kuombeleza kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Bi. Fatuma Omary Latu kilichotokea tarehe 13/09/2022 kwa ajali huko Mbeya.
Mwenyezi Mungu aipumzishe kwa amani roho ya marehemu mahali pema peponi... Amina!
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa