Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Ndg. Robert Masunya amekabidhi gari aina ya land cruiser yenye thamani ya Shilingi milioni 229.6 kwa Afisa afya(W) ndg. Ezekiel Sanga Oktoba 20, 20205 katika viunga vya ofisi ya Halmashauri - Ihemi.
Gari hiyo imenunuliwa kutokana na mradi wa Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program, kwaajili ya ufuatiliaji wa shughuli za afya na usafi wa mazingira wilayani humo.
#kurayakohakiyakojitokezekupigakura



Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa