• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mh.Queen Sendiga akimuapisha Mkuu mpya wa Wilaya ya Iringa Mh.Mohamed Hassan Moyo leo Juni 21,2021

Imewekwa : June 21st, 2021

Ummi Mohamed (Afisa Habari na Uhusiano,Iringa -DC)

Mkuu wa Mkoa Iringa Mh.Queen Sendiga ateta na Wakuu Wapya wa Wilaya.

Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh.Queen Sendiga leo Juni 21,2021 amewaapisha Wakuu wa Wilaya way tatu walioteuliwa na Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassain mwishoni mwa juma lililopita.

Wakuu wa Wilaya walioapishwa ni Mh.Mohamed Hassan Moyo ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Mh.Saadi Ahmed Mtambule ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi na Peres Boniphace Magiri ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.

Mh.Sendiga aliwataka Wakuu Wapya wa Wilaya kwenda na kasi ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan na kutofanya kinyume na matarajio yake, kwani amewaamini na kuwapa majukumu hayo ili kuleta maendeleo kwa wananchi wa Mkoa wa Iringa.

Ghafla ya kuwaapisha Wakuu hao wa Wilaya ilifanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Siasa ni Kilimo na ilihudhuliwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali, Viongozi wa Dini,Viongozi wa kimila na wananchi wa Mkoa wa Iringa.

Akizungumza muda mfupi baada ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Mohamed Hassan Moyo aliahidi ushirikiano kwa viongozi wote wa Mkoa wa Iringa katika kuhakikisha dhamira ya Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassain ya kuwatumikia wananchi na kuondoa kero inatekelezeka kwa vitendo.

“Nina ahidi nitashirikiana nanyi kwani kazi ya kuleta maendeleo ya Wilaya yetu ni kazi ya kushirikiana kati yangu mimi Mkuu wa Wilaya,Viongozi wa Chama na Serikali, lakini pia taasisi na Watumishi wote wa Wilaya ya Iringa kazi iendelee”alisema Mh.Moyo.

 

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa