• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA IRINGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO

Imewekwa : May 14th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amefanya ziara ya kukagua miradi pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Tarafa ya Idodi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mei 12, 2025


Mhe. Kheri James ametembelea na kukagua kazi ya maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayojengwa kwa kiwango cha lami ambapo maandalizi ya awali yameshaanza kwa ujenzi wa kambi na kusembua njia za mchepuo.

Akizungumza na wananchi pamoja na wasimamizi wa kazi, Mhe. Kheri amewahakikishia madereva kuwa mchakato wa kuwapata madereva utakuwa wazi na utatangazwa hivyo wenye sifa wataomba kazi na kufanyiwa majaribio bila upendeleo wowote.

Maeneo mengine ambayo Mkuu wa Wilaya ametembelea ni viijiji vya Mapogolo na Malizanga ambapo ameweza kusikiliza na kutatua kero za wananchi kupitia mikutano ya hadhara. Masuala yaliyoangaziwa zaidi ni ardhi na migogoro ya wakulimabna wafugaji katika maeneo haya.

Eidha Mhe. Kheri amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kufuata sheria na taratibu zilizowekwa ikiwa wanahitaji maeneo ya makazi, kilimo au ufugaji ili kuepusha migogoro inayoweza kujitokeza sanjari na kuzingatia matumizi bora ya ardhi.

Ziara hii ni mwendelezo wa ziara zinazotarajiwa kuvifikia vijiji yaani kijiji kwa kijiji ili kusikiliza na kutatua kero za wananchi sanjari na ukaguzi wa miradi ya maendeleo.

https://www.instagram.com/p/DJnzBdyM6Mi/?igsh=bTg4aTE5ejFid2E2

Matangazo

  • PONGEZI June 24, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA MFUMO WA ESS YATOLEWA KWA WATUMISHI IRINGA DC

    June 25, 2025
  • MANENO MAZITO YA MHE. MHAPA WAKATI WA KUVUNJA BARAZA

    June 19, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA NNE

    June 19, 2025
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KWA ROBO YA NNE 2024/2025 WAFANYIKA

    June 18, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa