• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela pichani akifungwa skafu na skauti alipowasili katika shule ya Sekondari Ilambilole

Imewekwa : November 4th, 2020

Mkuu wa Wilaya aongoza Harambee ya magodoro shule ya Sekondari Ilambilole.

Na Ummi Mohamed (Afisa Habari na Uhusiano,Iringa –DC)

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh.Richard Kasesela ameongoza Harambee ya kuchangia Magodoro ya shule ya Sekondari Ilambilole wakati  alipokuwa mgeni Rasmi katika makabidhiano ya Bweni la Wasichana lililojengwa na Shirika Lisilo la kiserikali la Lyra lenye thamani ya shilingi 178,800,000/=ambapo shirika la Lyra lilichangia 86% sawa na shilingi 162,486,721, nakiasi kilichobakia kilichangiwa na wadau mbalimbali wa maendeleo.

Mh. Kasesela amelipongeza Shirika la Lyra na Viongozi wa Kata na Jimbo la Ismani kwa kujitoa sana kwa Wananchi wao lakini pia,kwa wadau wa maendeleo ambao wamewezesha sana kujengwa kwa Bweni hilo wakiwemo wananchi,Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Alif Abri na Feisal Abri ambao wamechangia maeneo mengi katika jamii inayowazunguka.

Akisoma taarifa fupi kwa Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Lyra Bi. Roselyn Mariki amesema shirika hilo limeshajenga mabweni kumi na moja (11) ambayo yanalenga kuwasaidia wananfunzi wa kike ambao wapo katika hatari kubwa ya kupata ujauzito kutokana na kutembea umbali mrefu lakini pia wanafunzi wananoishi katika maisha magumu na hatarishi.

Bi.Mariki alielezea kazi nyingine zinazofanywa na Shirika hilo kuwa ni mradi wa Imarika Kijana ambao unalenga kuwasaidia vijana walio vijijini ambao kwa sababu moja au nyingine hawakufanikiwa kuendelea na masomo ama kupata ajira, Shirika la Lyra limeshatoa mafunzo kwa vVijana 210 kati ya hao 40 wamewachukua ili kusaidia kutoa elimu ya uwezeshaji kwa vuijana wengine.

“Mgeni rasmi mpaka sasa kuna vikundi 11 vya Vijana vya Hisa vilivyoanzishwa vikiwa na na mitaji na akiba ya chini ya shilingi elfu 50 na kwa sasa vina jumla ya shilingi milioni is20 zikiwa ni mitaji na akiba”alisema.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii wa Wilaya Bi.Saumu Kweka aliwaasa wanafunzi kutumia fursa ya uwepo wa Bweni hilo kujikita katika kujisomea ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao kwani kiongozi bora lazima awe na elimu nzuri na kuwahakikishia kwamba yeye kwa nafasi yake na kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji watachangia magororo Matatu yenye thamani ya shilingi 165000/.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa