Mwenge wa Uhuru 2025 wazindua shule mpya ya sekondari Makatapola kata ya Migoli mapema April 28, 2025
Mradi huu wa shule unagharimu kiasi cha shilingi 583,180,028.00/- kutoka serikali kuu. Ujenzi huu umejumuisha ujenzi wa jengo la utawala, vyumba vya madarasa 08, chumba cha TEHAMA, chumba cha maktaba, na ujenzi wa maabara 03 za fizikia, baiolojia, na kemia.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa