• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Dendego Afanya Ziara Iringa DC

Imewekwa : November 22nd, 2023

RC Afanya Ziara Ihemi

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Halima Dendego amefanya ziara Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Novemba 22, 2023, ambapo Makao Makuu yake yapo Kijiji cha Ihemi Kata ya Mgama, kwa kukagua jengo la Halmashauri hiyo na kutoa ushauri katika baadhi ya makosa yaliyojitokeza katika ujenzi huo.

Mheshimiwa Dendego ametoa maagizo kadhaa katika ziara yake hiyo kwa kusema, “kutokana na jengo hili kuwa kubwa na zuri sana nashauri na kuagiza kuwepo na milango (Gates) mawili ikiwa moja la kuingilia na moja la kutokea. Pia kufanyia usawazo wa ardhi na kupanda maua ili jengo liendelee kupendeza, sehemu ya Bendera pajenjewe na kuweka milingoti mizuri, usafi na kwamba mambo mengine madogomadogo yanayoendelea katika ujenzi yawekewe mpango kazi”.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Wakili Bashir Muhoja amemshukuru Mheshimiwa Dendego kwa kuja kutembelea jengo na ushauri aliotoa ameupokea na kwenda kufanyia kazi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA July 28, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA JIMBO LA KALENGA NA ISMANI WAPATIWA MAFUNZO NA KULA VIAPO

    August 04, 2025
  • KATIBU WA TAGCO ATEMBELEA BANDA LA IRINGA DC KWENYE NANENANE 2025 JIJINI MBEYA

    August 02, 2025
  • RC IRINGA: TUWAANDAE WANANCHI KUNUFAIKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI

    July 18, 2025
  • KATIBU TAWALA WILAYA YA IRINGA APONGEZA UFAULU KIDATO CHA SITA

    July 09, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa