Baraza la Madiwani, Menejimenti, Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Wananchi wake tmepokea kwa mshtuko taarifa kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea Machi 17 katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.
Tunaungana na watanzania kutoa pole kwa Familia ya Mh. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu Hassan, Mawaziri/Wabunge pamoja na Watanzania wote.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe .
MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALA PEMA,AMINA.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa