Baraza la Madiwani, Menejimenti, Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Wananchi wake tunaungana na Watanzania wote kukutakia Uongozi mwema Mh. SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuapishwa na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Tunakuahidi kukupa ushirikiano katika kusukuma mbele maendeleo ya Taifa letu".
Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake.
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa