UTT AMIS Watoa mafunzo ya Kuwekeza na Vikoba
Afisa Masoko na Mawasiliano Bi. Doris Mlenge ametoa mafunzo kwa Watumishi waweze kujiwekeza kwenye mifuko ya UTT kwa ajili ya faida za mbeleni, na kuwa na matumizi sahihi ya kila fedha inayopita mikononi mwao.
Bi. Doris ametoa mafunzo hayo Mei 21, 2024 alipokuwa akiongea na Watumishi hao katika Ukumbi wa Halmashauri uliopo Ihemi.
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa