• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI IRINGA DC WAPATIWA MAFUNZO

Imewekwa : January 19th, 2025


Wakumbushwa kutambua majukumu na mipaka yao ya kazi.

Wenyeviti wa vijiji na vitongoji kutoka vijiji 134 na vitongoji 745 vya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wapatiwa nafunzo kupitia semina elekezi iliyoendeshwa na walimu kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kuanzia Januari 18 hadi 19, 2025.

Akizungumza katika kituo cha Shule ya Sekondari Pawaga Tarafa ya Ismani, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ndugu Exavery Ruyagaza amewapongeza viongozi wote waliochaguliwa kwa ngazi malimbali na kusema kwamba wananchi wamewachagua kwa sababu kwanza waliaminika na wananchi hao, hivyo hata mafunzo na elimu  wanayoipata wakiwapelekea wananchi wataendelea kuaminika zaidi kuliko wengine kwani ni chaguo lao.

“Kwa hiyo nawaomba sasa kwa kuwa mmeaminika, haya mnayoyapata hapa mkiwapelekea wananchi watayaamini na kuyapokea Zaidi kuliko mtu yeyote kwa sababu wewe ni chaguo lao”

Aidha ndugu Ruyagaza amesisitiza wajumbe juu ya ushiriki wa mikutano na vikao vya kisheria kwenye vijiji jambo ambalo limekuwa ni tatizo maeneo mengi. Kwa upande wa jitihada mbalimbali za kimaendeleo ndugu Ruyagaza amefafanua juu ya mpango O & OD ambapo amesema usemi kwamba jamii inajenga boma Serikali ije imalizie umepitwa na wakati badala yake jamii inapaswa kuandaa mipango kamili ya miradi na bajeti.

Kwa upande wake Ndugu Robin Gama kwa niaba ya Afisa Utumishi wa Halmashauri amesisitiza juu ya haiba ya kiongozi kwenye jamii anayoiongozi pamoja na kuzingatia maadili kwani kiongozi anapaswa kuonesha njia na mfano mwema kwa watu wake na kuwaasa viongozi kuwajibika kwenye kazi zinazowapatia kipato halali.

Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa