Imewekwa : June 22nd, 2024
Mkoa wa iringa umepokea Mwenge wa Uhuru leo Juni 22, 2024 kutoka Mkoa wa Njombe.
Akikabidhi Mwenge huo Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthon Mtaka amesema wameshukuru wamekimbiza Mwenge salam...
Imewekwa : June 20th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amepita na kukagua maandalizi ya miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru 2024. Miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru katika hHalmashauri inajumuish...
Imewekwa : June 15th, 2024
Tanzania Bara inategemea kufanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa ifikapo Novemba 2024.
Kufuatia tukio hilo muhimu, Tume Huru ya Uchaguzi imekutana na Maafisa Habari wa Mikoa na H...