Imewekwa : June 5th, 2024
UTT AMIS Watoa mafunzo ya Kuwekeza na Vikoba
Afisa Masoko na Mawasiliano Bi. Doris Mlenge ametoa mafunzo kwa Watumishi waweze kujiwekeza kwenye mifuko ya UTT kwa ajili ya faida za mbeleni, na kuwa ...
Imewekwa : June 30th, 2024
Shirika la Helen Keller Internation kupitia Wataalamu wa matibabu ya macho kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na Mkoani wameleta tabasamu kwa wananchi wa Pawaga na maeneo mengine ya Halmashauri ya...
Imewekwa : May 31st, 2024
Mkurugenzi wa Elimu Idara ya Elimu Sekondari -OR TAMISEMI Mwl. Khadija Mcheka Leo ,Mei 31, 2024 Ameongea na walimu wa halmashauri ya wilaya ya Iringa akiwaomba walimu kuwa na mbinu wakati wa ufu...