MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2021/2022
NA
|
JINA LA MRADI
|
GHARAMA YA MRADI (BAJETI)
|
KIASI KILICHOPOKELEWA
|
KIASI KILICHOTUMIKA
|
HALI HALISI YA MRADI
|
|
A.
|
IDARA YA ELIMU MSINGI
|
|
|
|
|
|
1 |
Ujenzi wa vyoo shule ys msingi Ilandutwa
|
13,200,000
|
13,200,000
|
- |
Uchimbaji wa shimo
|
|
2 |
Ujenzi wa vyoo shule ya msingi Malinzanga
|
13,200,000
|
13,200,000
|
- |
Uwekaji wa mkeka chumba cha wasichana
|
|
3 |
Ujenzi wa vyoo shule ya msingi Mboliboli (Mkumbwanyi)
|
13,200,000
|
13,200,000
|
12,576,000 |
Upigaji wa mbao za kenchi
|
|
4 |
Ujenzi wa vyoo shule ya msingi Mbuyuni
|
13,200,000
|
13,200,000
|
11,160,000 |
Ujenzi wa chemba
|
|
5 |
Ujenzi wa bweni la wanafunzi shule ya msingi Tanangozi
|
80,000,000 |
80,000,000 |
71,015,910.00
|
Jengo limehezekwa na kuwekewa fisherboard,lipu na kufitishwa milango na madirisha na vioo na kuwekewa dari na uwekaji wa chupping nje.
|
|
6 |
Ujenzi wa bweni la wanafunzi shule ya msingi Tanangozi
|
19,100,000
|
19,100,000
|
19,100,000
|
||
7 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Idodi
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Hatua ya umaliziaji
|
|
8 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Uhominyi
|
40,000,000 |
40,000,000 |
40,000,000 |
Kazi ya marumaru na skiming inaendelea
|
|
9 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Ilambilole
|
40,000,000 |
40,000,000 |
40,000,000 |
Kazi imekamilika bado kufunga vioo kwenye madirisha
|
|
10 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Ilandutwa
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Hatua ya umaliziaji
|
|
11 |
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu two in one shule ya msingi Isaka
|
40,000,000
|
40,000,000
|
-
|
Ujenzi upo hatua ya maandalizi baada ya kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu cha kubadili matumizi kutoka ujenzi wa madarasa mawili.
|
|
12 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Isele Pawaga
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Hatua ya kupandisha kuta
|
|
13 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Isimani (Ivangwa)
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Uwekaji wa maru maru na upigaji wa rangi
|
|
14
|
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Kisanga
|
40,000,000
|
40,000,000
|
|
Kazi ya upigaji wa rangi na uwekaji wa marua maru inaendelea
|
|
15 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Luganga (Ukwega)
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Madarasa mawili wanapaka rangi na Darasa moja lipo kwenye visusi.
|
|
16 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Lumuli
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Ujenzi wa msingi (Jamvi)
|
|
17 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Matembo
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Jengo limekamilika isipokuwa vioo na madawati kazi inaendelea
|
|
18 |
Ujenzi wa madarasa shule ya msingi Mboliboli (Mkumbwanyi)
|
40,000,000 |
40,000,000 |
|
Ujenzi upo hatua ya umaliziaji
|
|
|
|
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa