Diwani wa Kata ya Masaka Mheshimiwa Mathew M. Nyagawa akipanda mti eneo la shule ya Sekondari Mseke katika zoezi la uzinduzi wa upandaji miti tarehe 03/03/2022
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Bi. Lucy Nyallu akitoa salamu katika shughuli ya uzinduzi wa upandaji miti uliofanyika katika Kata ya Masaka kijiji cha Sadani eneo la shule ya Sekondari Mseke tarehe 03/03/2022
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Ponsiano Kayage akisalimia wananchi wakati wa shughuli ya uzinduzi wa upandaji miti uliofanyika katika Kata ya Masaka kijiji cha Sadani eneo la shule ya Sekondari Mseke tarehe 03/03/2022
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Mohamed Moyo akihutubia wananchi na wanafunzi waliojitokeza katika uzinduzi wa upandaji miti uliyofanyika katika Kata ya Masaka kijiji cha Sadani eneo la shule ya Sekondari Mseke tarehe 03/03/2022
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Mohamed Moyo akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa zoezi la upandaji miti.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Mohamed Moyo akipanda mti eneo la shule ya Sekondari Mseke katika uzinduzi wa upandaji miti uliofanyika katika Kata ya Masaka kijiji cha Sadani tarehe 03/03/2022
Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Mlolo Mh. Anitha P. Magelanga akipanda mti katika shule ya Sekondari Mseke
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mseke wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Mohammed Moyo katika Shughuli ya Uzinduzi wa upandaji miti Halamshauri ya Wilaya ya Iringa
Afisa Misitu wa Wilaya Ndugu. Joachim Mshana akisoma Tarifa ya upandaji Misitu Wilaya mbele ya Mgeni Rasmi ambaye alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mh. Mohamed Moyo.
Mtaa wa Gangilonga
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0767778106
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa