Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto imetoa Gari ya kubebea Wagonjwa yenye thamani ya Milioni 120 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Akipokea gari hiyo Bw Robert Masunya ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauriya Wilaya ya Iringa amesema gari hiyo itasaidia kuokoa misha ya watu wengi hasa kwa wakina mama na watoto.
Mwnyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mh Stephan Mhapa ametoa rai kwa wajumbe wa Baraza la Madiwani kushiriki katika kutoa elimu dhidi ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya Mapafu (COVID19) kwa wananchi ili waendelee kutokuwa na maambukizi ya ugonjwa huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri akitangaza Maazimio ya Baraza ya kumfukuza kazi Mtumishi mmoja.
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa