• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RAIS SAMIA ATOA ZAWADI YA KRISMASI KWA WATOTO YATIMA IRINGA

Imewekwa : December 24th, 2022

RAIS SAMIA ATOA ZAWADI YA KRISMASI KWA WATOTO YATIMA IRINGA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwa ni pamoja na vitoweo ,mchele , maharage,mafuta ya kupikia, sabuni, chumvi na viungo vingine mbalimbali vya kupikia.


Akimuwakilisha Rais kukabidhi bidhaa hizo katika kituo cha kulelea watoto yatima Tosamaganga kilichopo Kijiji cha Tosamaganga Kata ya Kalenga Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Mkuu wa mkoa wa Iringa Mhe Halima Dendego amesema kituo hicho kimeviwakilisha vituo vingine.


Ameeleza kuwa Rais kwa kutambua makundi maalum ametoa zawadi hizo ili watoto hao washeherekee kama watakavyosheherekea watoto wengine majumbani hivyo amesema kupitia majitoleo hayo watakuwa wameuona mkono wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


"Nimekuja hapa leo na salamu za upendo kutoka kwa Mh. Rais wetu, kwa kutambua jukumu kubwa mlilonalo la kulea hawa watoto, na yeye amewiwa kuchangia katika sherehe hizi za kuzaliwa  Kristu, ameniagiza nilete zawadi kutoka kwake kwa ajili ya watoto hawa ili na hawa watoto wajione kama wako nyumbani na mama na baba.”


amewaletea zawadi pamoja na salamu za Sikukuu za Krismasi, ambapo amewaletea Mbuzi wanne, Mchele, Maharage, Mafuta, na Viungo vingine mbalimbali. amesema Dendego.


Aidha Mhe. Dendego kwa niaba ya watoto na wananchi wa Mkoa wa Iringa amemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwakumbuka watoto hao.


β€œna sisi pia tunakutakia Krismasi njema, Afya njema kazi kubwa unayoifanya Mheshimiwa, Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia na kukuongoza, Tunakushukuru kwa zawadi hii ulioileta Iringa kwa ajili ya watoto wetu tunasema asante sana.”

Naye Kiongozi wa Malezi ya Watoto Tosamaganga Sista Hellena kwa niaba ya Watoto, Masista na wafanyakazi amemshukuru Mhe Rais na Mkuu wa Mkoa kwa zawadi hizo za Krismasi.


Kituo cha kulea watoto cha Tosamaganga kina jumla ya watoto mia mbili na wana watoto kuanzia umri wa miezi miwili na kwa sasa kuna jumla ya watoto 72 ambao bado ni wadogo hawajaanza shule na wengine wametawanyika katika shule mbalimbali wakipata elimu.

Matangazo

  • KARIBU IRINGA MHE. SITTA June 30, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC IRINGA MHE. BENJAMIN SITTA APOKELEWA NA KUKABIDHIWA OFISI

    June 30, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA ESS YATOLEWA KWA WATUMISHI IRINGA DC

    June 25, 2025
  • MANENO MAZITO YA MHE. MHAPA WAKATI WA KUVUNJA BARAZA

    June 19, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA NNE

    June 19, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa