• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR WAASWA KUFANYA KAZI KWA UNADHIFU NA HAKI

Imewekwa : December 24th, 2024

Maafisa waandikishaji wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki waaswa kufuata miongozo na maelekezo ya Tume Huru  ya Taifa ya Uchaguzi ili kufanya kazi kwa unadhifu na haki. Hayo yamesemwa wakati wa kufunga mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura yaliyofanyika kijiji cha Migoli shule ya sekondari Nyerere Desemba 24, 2024.

Akizungumza  kwa niaba ya Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kalenga na Ismani ndugu Yahaya Kiliwasha amesema, “Someni kwa umakini sheria ya Uchaguzi, kanuni za uboreshaji, maelekezo na miongozo yoye inayotolewa na Tume ili kazi yenu ifanyike kwa unadhifu na haki”

Aidha ndugu Kiliwasha amesisitiza juu ya mawasiliano kati ya wataalamu hao na maafisa wa Tume upande wa TEHAMA ili ikiwa kutakuwa na changamoto ipatiwe utatuzi mapema na kuzinhatia muda kwenye kazi sanjari na huduma nzuri kwa wateja wanaokuja kwa ajili ya kujiandikisha.

Mafunzo yamefanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 23 hadi 24, Desemba, 2024 ambapo jumla ya maafisa waandikishaji wasaidizi na waendesha vifaaa vya BVR 1000 wamepatiwa mafunzo tayari kwa ajili ya kwenda kuanza zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura linaloanza Desemba 27, 2024 hadi Januari 02, 2025.

Matangazo

  • KARIBU IRINGA MHE. SITTA June 30, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) January 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI January 24, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC IRINGA MHE. BENJAMIN SITTA APOKELEWA NA KUKABIDHIWA OFISI

    June 30, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA ESS YATOLEWA KWA WATUMISHI IRINGA DC

    June 25, 2025
  • MANENO MAZITO YA MHE. MHAPA WAKATI WA KUVUNJA BARAZA

    June 19, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KWA ROBO YA NNE

    June 19, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa