Imewekwa : May 6th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Wakili Bashir Muhoja amekabidhiwa vifaa saidizi kwa wanafunzi wenye Ulemavu toka kwa shirirka la IBO ITALIA, leo tarehe 06 Mei 2022.
Vifaa hiv...
Imewekwa : March 11th, 2022
Timu ya Wawezeshaji Mafunzo kutoka TASAF yawanoa kwa Siku sita Wawezeshaji wa Halmashauri (W) Iringa
Na Ofisi ya Habari na Uhusiano
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Wakili ...
Imewekwa : March 8th, 2022
Viongozi wanawake wana uwezo mkubwa wa kushawishi jamii -DC Moyo
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo ameongoza Sherehe za Siku ya Wanawake Duniani kwa Halmashauri ya Wilaya ya I...