Imewekwa : July 5th, 2022
“Natoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala Mkoa, Mbunge wa Jimbo la Isimani, Mwenyekiti wa Halmashauri na Waheshimiwa Madiwani wote, Mkurugenzi na timu yake ya Wataalamu kwa kufanikisha miradi hii...
Imewekwa : June 28th, 2022
"Msikae Kizembe Kwenye Maeneo yenu ya Kazi" - DC Moyo
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Mohamed Moyo amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kuepuka kukaa kizembe katika maeneo yao ya ka...
Imewekwa : June 24th, 2022
Afisa TEHAMA Iringa DC: Tujiepushe na Matapeli wa Mtandao
Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Halmashauri ta Wilaya ya Iringa Ndugu Christopher Aron Mfugale amewataka Watumishi ...