• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kitengo Cha ufugaji nyuki


1.0 UTANGULIZI

Kitengo cha ufugaji nyuki katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kimejikita katika kuhamasisha wananchi kufuga nyuki kwa wingi ili kujikwamua kiuchumi kutokana na mazao ya asali na anta. Wananchi wengi awali walikuwa wanarina asali kutoka katika mapango ya miti na mawe kwenye misitu ya asili. Shughuli ya uwindaji wa asali porini ulionekana kuwa na athari za kimazingira hasa kutokana na wawindaji hao kutochukua tahadhari ya moto na kusababisha mioto mingi kuteketeza misitu. Wananchi baada ya kuaza kueleimika walianza kufuga nyuki kwa kutumia zana za asili kama mitungi, vibuyu, mizinga ya magome na magogo. Awali shughuli ya ufugaji nyuki ilionekana kama sehemu ya ziada ukilinganisha na shughuli nyingine kama kilimo, Ufugaji wa wanyama  na biashara. Kwa sasa hivi wananchi wengi wamehamasika katika shughuli ya ufugaji nyuki na sasa shughuli hiyo inachukuliwa kama njia mbadala ya kujikwamua kiuchumi na kuongeza ziada ya chakula.

 

2.0 MAENEO YA UFUGAJI NYUKI

Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ina maeneo mengi yanayofaa katika ufugaji nyuki. Maeneo hayo yana sifa za kuwa na miti inayotoa maua wakati wa mvua na pia kuna vyanzo vingi vya maji ambayo ni muhimu katika suala zima la Ufugaji nyuki. Upatikanaji wa maeneo ya ufugaji nyuki yanaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili kwa kushirikisha jamii. Kwa sasa Hamashauri ya Wilaya ya Iringa ina misitu iliyohifadhiwa yenye jumla ya Hekta 191,000 na eneo tengufu la wanyama pori lenye ukubwa wa Kilometa za mraba 773 eneo hili limezungukwa na vijiji 21 katika tarafa za Idodi na Pawaga. Kwa ujumla maeneo haya yakitumiwa kikamilifu katika ufugaji nyuki yanaweza kuzalisha asali na nta bora hasa ukizingatia kuwa hakuna uchafuzi mkubwa wa mazingira kama matumizi ya sumu kwenye mimea na maji.

3.0 MALENGO YA HALMASHAURI KATIKA UZALISHAJI WA ASALI NA NTA

Kwa sasa Halmashauri imelenga kuongeza uzalishaji wa asali kutoka tani 40 kwa sasa hadi kufikia tani 50 na nta kutoka tani 25 hadi tani 35 kwa mwaka ifikapo mwaka 2020. Malengo hayo yanaweza kufikiwa hata kabla ya mwaka tajwa hasa kutokana na watu wengi kuhamasika kufuga nyuki.

4.0 AINA YA UFUGAJI NYUKI

Halmashauri imetoa elimu kwa wananchi hasa suala zima la ufugaji nyuki kwa njia za kisasa.  Njia ya ufugaji nyuki kwa kutumia utaalamu inajumuisha matumizi ya mizinga ya kisasa ya kati (Tanzania Transitional Top bar Beehives). Kuna jumla ya mizinga 4,000 ya kisasa na mizinga ipatayo 10,000 ya asili. Kitengo pia hutoa ushauri kwa wafugaji juu ya matumizi ya zana za kisasa katika kurina asali na uchakataji wa mazao ya nyuki ambayo ni asali na nta.

5.0 IDADI YA WAFUGAJI NYUKI KATIKA HALMASAHAURI YA WILAYA

Jumla ya wafugaji nyuki 1361 wamepata mafunzo katika  awamu tofauti kuanzia mwaka 2008 idadi hiyo inajumuisha wafugaji binafsi, taasisi na vikundi mbalimbali. Elimu ya ufugaji nyuki hutolewa kwa njia ya mafunzo na vipeperushi vilivyoandikwa kwa lugha nyepesi itakayo mwezesha mfugaji kuelewa. Kitengo pia kimehimiza uanzishaji wa vikundi na kuvisajili ili viweze kunufaika na mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali za fedha na mifuko mbalimbali ya jamii. Kwa sasa hivi kuna jumla ya vikundi 83 vya ufugaji nyuki vyenye jumla ya wanachama 1,361. Majedwali namba 1 na 2 yanaonesha hali ya uzalishaji wa mazao ya nyuki na vikundi vya ufugaji nyuki katika H/Wilaya.



JEDWALI NA. 1

 HALI YA UZALISHAJI WA MAZAO YA NYUKI HALMASHAURI YA

WILAYA YA IRINGA MWAKA 2017

S/N
MWAKA
                IDADI YA MIZINGA
UZALISHAJI WA ASALI  (KG)
THAMANI YA ASALI (TSH)
(BEI NI 10,000/=/KG)
UZALISHAJI WA NTA
(KG)
THAMANI YA NTA (TSH)

2017
KISASA
ASILI
JUMLA YA MIZINGA YENYE NYUKI YA ASILI  NA   YA KISASA
(BEI  YA  NTA 5000/=/KG)

Vikundi
3,862
9554
10,062
40,248
402,480,000
20,124
100,620,000

Watubinafsi
586
580
875
3,500
35,000,000
31,500
157,500,000

Jumlandogo (vikundi +binafsi)
4,448
10134
10,937
43748
437,480,000
51,624
258,120,000
Jumla a kuu
14,582
10,937
10,937
437,480,000
51,624
258,120,000


JEDWALI NA. 2

VIKUNDI VYA UFUGAJI NYUKI KATIKA HALMASHAURI YA

WILAYA YA IRINGA 2017

1
MangalalifarmersAgainst Poverty
Mangalali
Nzihi
15
12
3
0
400
2
.UmojawawafugajiNyuki
Nzihi
Nzihi
17
10
7
0
800
3
Wazeenawajane
Mfyome
Kiwere
15
6
9
0
75
4
Jitegemee
Mfyome
Kiwere
13
5
8
0
10
5
5.TunawezaVikoba
Kitapilimwa
Kiwere
14
8
6
410
10
6
Umojawavijanakitapilimwa
Kitapilimwa
Kiwere
27
4
23
0
4
7
.Umojawaakina mama Kitapilimwa
kitapilimwa
Kiwere
23
16

        0
2
8
Jitegemee
Kitapilimwa
Kiwere
16
4
12
0
10
9
Msembe
Kitapilimwa
Kiwere
15
9
6
0
10
10
Tumaini
Kiwere
Kiwere
15
5
10
0
36
11
Vicoba
Kiwere
Kiwere
16
7
9
0
26
12
Makini group
Kiwere
Kiwere
20
5
15
0
36
13
Umoja
Kiwere
Kiwere
20
5
15
1200
21
14
Dira
Kiwere
Kiwere
10
5
5
0
24
15
Mlimamosi
Itagutwa
Kiwere
10
5
5
0
31
16
Wazee – wajane
Kinywang’ang’a
Nduli
15
8
7
0
105
17
NgamiaVicoba
Kinywang’ang’a
Nduli
15
10
5
305
15
18
Muungano
Kinywang’ang’a
Nduli
15
9
6
0
20
19
Harambee
Kisinga
Nduli
12
5
7
2,206
716
20
PTC
Kisinga
Nduli
15
10
5
116
20
21
Tupendane
Ilambilole
Nduli
11
5
6
313
7
22
Chapa kazi
Ilambilole
Nduli
14
6
8
236

23
Umoja
Ilambilole
Nduli
50
10
40
60
40
24
Muungano
Ilambilole
Nduli
15
15
-
134
10
25
Jitegemee power
Mkungugu
Nduli
12
8
4
69
60
26
Maendeleo
Matembo
Nduli
14
7
7
95
20
27
TwendenaWakati
Matembo
Nduli
10
5
5
106

28
 LAMAYA
Igingilanyi
Nduli
15
8
7
0
20
29
Kangombe
Ibangamoyo
Ulanda
15
5
10
0
20
30
Shambadarasa
Kihorogota
Kihorogota
21
5
16
156
50
31
Kihorogotabeekeping
Kihorogota
Kihorogota
13
5
8
0
63
32
Mkangalage
Mikongwi
Kihorogota
16
5
11
119
0
33
Tumaini
Igula
Kihorogota
25
5
20
156
7
34
Iga
Isimanitarafani
Kihorogota
14
6
8
236
7
35
Karismatic
Isimanitarafani
Kihorogota
50
10
40
288
50
36
Tumaini
Isimanitarafani
Kihorogota
15
15
-
134
15
37
Songambele
Isimanitarafani
Kihorogota
13
13
-
357
20
38
Shambadarasa
Ngano
Kihorogota
11
5
6
156
50
39
Nguvukazi
Ngano
Kihorogota
30
12
18
0
21
40
 KUNU
Uhominyi
Kihorogota
20
12
8
23
40
41
Isimani (T)
Isimanitarafani
Kihorogota
17
5
12
0
50
42
Umoja
Magunga
Maboga
12
5
7
36
56
43
Kiponzelo Natural honey
Kiponzelo
Maboga



0
18
44
Ufugajinyuki
Udumka
Ifunda
13
5
8
119
70
45
Nyuki
Isupilo
Ifunda
19
12
7
59
70
46
MAO
Muwinbi
Lumuli
7
3
4
0
28
47
Nyuki Group
Luganga
Ilolompya
24
5
19
379
30
48
Asasiyanyuki
Mapogolo
Idodi
14
8
6
286
60
49
Asasiyanyuki
Tungamalenga
Idodi
12
2
10
186
20
50
AsasiyaNyuki
Idodi
Idodi
16
4
12
125
10
51
Asasiyanyuki
Kitisi
Idodi
15
5
10
148
35
52
Mapinduzi

Idodi
12
2
10
99
0
53
Nyukini Mali
Mbolimbol
Itunundu
9
0
9
0
10
54
Mizinganimali
Mbolimbol
Itunundu
11
4
7
0

55
Muungano
Itunundu
Itunundu
10
0
10
0
10
56
Umoja
Izazi
Izazi
13
4
9
51
0
57
Amani
Usolanga
Malengamakali
30
15
15
28
21
58
 KKKT Vijana
Mkulula
Malengamakali
30
16
14
0
21
59
Jitihada
Makadupa
Malengamakali
30
11
19
0
21
60
Muungano
Makadupa
malengamakali
13
4
9
313

61
Upendo
Iguluba
Malengamakali
30
10
20
0
21
62
Amkeni
Nyakavangala
malengamakali
30
14
16
0
21
63
Jitegemee
Nyakavangala
malengamakali
15
7
8
139
10
64
Kibwegere
Holo
Nyang’oro
30
17
13
0
21
65
Juhudi
Chamdindi
Nyang’oro
30
15
15
0
21
66
Karitas
Mawindi
Nyang’oro
27
6
21
0
21
67
Mkombozi
Ikengeza
Nyang’oro
30
15
15
0
21
68
Juhudi
Nyang’oro
Nyang’oro
14
5
9
807
0
69
NyukinaMisitu
Mgama
Mgama
16
4
12
0
24
70
Kikundi cha ufugajinyukiMtera
Mtera
 
10
4
6
0
20
71
Kikundi cha ufugajinyukiMakatapora
Makatapora
Migoli
11
4
7
0
20

Kikundi cha ufugajinyukimbweleli
Mbweleli
Migoli
15
8
7
0
20
72
Kikundi cha ufugajinyukiKinyali
Kinyali
Kinyali
8
3
5
0
20
73
Kikundi cha ufugajinyukikiwere
Kiwere
Kiwere
13
7
6
0
20
74
Kikundi cha ufugajinyukiMfyome
Mfyome
Kiwere
12
4
8
0
20
75
Kikundi cha ufugajinyukiItagutwa
Itagutwa
Kiwere
8
2
6
0
20
76
Kikundi cha ufugajinyukikinyika
Kinyika
Itunundu
15
7
8
0
20
77
Kikundi cha ufugajinyukiMagombwe
Magombwe
 
10
3
7
0
20
78
Kikundi cha ufugajinyukiKising’a
Kising’a
Kising’a
9
4
5
0
20
79
Kikundi cha ufugajinyukiIsele
Isele
Itunundu
13
6
7
0
20
80
Kikundi cha ufugajinyukiIdodi
Idodi
Idodi
12
4
8
0
20
81
Kikundi cha ufugajinyukiMalinzaga
Malinzaga
 
8
3
5
0
20
82
Kikundi cha ufugajinyukiKitisi
Kitisi
Idodi
15
8
7
0
20
83
Kikundi cha ufugajinyukiTungamalenga
Tungamalenga
Idodi
13
5
8
0
20
Jumla
     1361
573
788
9554
3,862


Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa