• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe Za Watumishi |
Iringa District Council
Iringa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo umwagiliaji na ushirika
      • Mazingira na Usafishaji
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA NA Uhusiano
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango,Utawala na Uchumi
      • UKIMWI
      • Afya Elimu na Maji
      • UMazingira, uchumi na Ujenzi
      • Maadili
    • Ratiba Ya Vikao mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Hudumakwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video za Shughuli Mbalimbali za kiofisi na za Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mifugo naUvuvi

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

0 Utangulizi

Idara ya mifugo na uvuvi ni moja ya idara za halmashauri ya Iringa, pia inaundwa na sekta mbili za mifugo na uvuvi. Sekta ya mifugo ni shughuli ya pili ya kiuchumi kwa wananchi wa halmashauri ya wilaya Iringa wanayoitegemea kupata kipato katika kaya baada ya shuguli za mazao ya kilimo. Mifugo inayofugwa ni ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku, nguruwe, bata, sungura na punda, pamoja na ufugaji wa samaki.

2 LENGO:

Kuongeza uzalishaji wa mifugo na mazao yake ili kuwa na uhakika wa chakula na kuinua kipato cha kaya za wafugaji, kwa kuboresha koosafu za mifugo, huduma ya afya za wanyama, ili kuwa na mifugo yenye tija katika uzalishaji na pamoja na ufugaji wa kiabishara.

 

Sekta ya mifugo inasimamia na kuratibu :-

Uboreshaji wa wanyama wadogo ambao ni mbuzi, kondoo, kuku, bata na nguruwe

Ufuatiliaji wa magonjwa,kinga na tiba za mifugo.

Uzalishaji wa maziwa na mazao yake na uboreshaji wa koosafu za ng’ombe

Usimamamizi na uboreshaji wa nyanda za malisho kwa kuvihimiza vijiji kutenga maeneo kwa ajili ya ufugaji

Usimamiaji mifumo ya ufuatiliaji na utambuzi wa mifugo vijijini

Kusimamia ubora wa nyama, ngozi na biashara ya mifugo minadani.

Utoaji wa elimu kwa kutumia maafisa ugani katika vijiji na kata

Sekta ya uvuvi inaratibu yafuatayo:-

Kuratibu na kusimamia doria kudhibiti uvuvi haramu katika bwawa la Mtera

Kuelimisha wavuvi na jamii juu ya usimamizi shirikishi wa mialo (BMU’s), uvuvi haramu, leseni na usajili wa vyombo vya uvuvi pamoja na mazingira ya makazi ya samaki.

Kuendeleza ufugaji wa samaki katika mabwawa ya kuchimbwa kwa wakulima na wafugaji.

MAJUKUMU;

Kutafsiri na kusimamia sera, sheria, miongozona mikakati ya mifugo na uvuvi katika ngazi ya wilaya.

Kushirikisha jamii katika kuandaa mpango wa maendeleo wilayani (DADP’s) kuendana na mahitaji ya jamii katika wilaya.

Kushirikiana na taasisi mbalimbali za utafiti ili kufanya utafiti wa mifugo, kupokea na kusambaza matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali kwa wadau wa sekta ya mifugo na uvuvi.

Kuratibu na kusimamia utendajikazi wa wadau wa sekta ya mifugo wanaotoa huduma mbalimbali za maendeleo ya mifugo, kwa mujibu wa sheria na taratibu.

Kukusanya, kutunza na kutoa takwimu na taarifa na taarifa sahihi za maendeleo ya mifugo na uvuvi.

Kusimamia na kuendeleza rasilimali zinazotumika kuendeleza ufugaji

Kufanya tathimini mbalimbali za shughuli za mifugo na uvuvi, mahitaji na usambazaji pembejeo za mifugo

MIRADI

Idara inatekeleza mpango wa kuendeleza kilimo wilayani (DADPS). Mpango huu unaendeleza sekta ya mifugo katika uboreshaji wa mifugo, uzalishaji, afya ya mifugo, miundombinu ya mifugo na kujenga uwezo wa wataalamu na wafugaji katika Halmashauri,

TAARIFA NA TAKWIMU ZA IDARA

Miundombinu ya idara ya mifugo na uvuvi

SNo
AINA YA MUUNDOMBINU
IDADI
1
Minada ya mifugo
6
2
Majosho
50
3
Malambo
9
4
Mabirika
13
5
LDC
4
6
Holding ground
4
7
Machinjio ndogo
6
8
Vituo vya machinjio
47
9
Mabwawa ya samaki
119
10
Mabanda ya ngozi
6

 


Ng’ombe
Mbuzi
Kondoo
Punda
Nguruwe
 Kuku
Jumla
Asilimia
Kalenga
13,903
3,607
2,130
401
2,984
85,263
108,288
12
Mlolo
16,119
1862
1028
173
17,326
116,289
152,797
17
Kiponzero
16,377
2,449
875
28
9,462
110,260
139,451
15
Idodi
24,656
25,133
8,256
332
735
72,373
131,485
14
Pawaga
36,128
17,742
5,840
477
535
54,659
115,381
13
Isimani
48,172
52,636
18,631
1385
5,117
134,804
260,745
29
Jumla kuu
155,355
103,429
36,760
2,796
36,159
573,648
908,147
100

Ismani inaongoza tarafa nyingine kwa asilimia 28.7 katika takwimu za mifugo kiwilaya ikifuatiwa na tarafa ya Mlolo(16.8%), kiponzelo (15.4%), Idodi (14.5%), Pawaga (12.7%) na tarafa ya kalenga yenye asilimia 11.9.

Idadi ya mifugo kikata kwa mwaka 2013-2014

S/N
Kata
Ng’ombe
Mbuzi
Kondoo
Punda
Nguruwe
Kuku
Jumla
Asilimia
1
Kalenga
1,537
781
103
11
842
14,303
17,577
1.9
2
Kiwere
4,127
1,690
657
289
607
16,785
24,155
2.7
3
Nzihi
4,564
181
1,272
46
840
42,285
49,188
5.4
4
Ulanda
3,675
955
98
55
695
11,890
17,368
1.9
5
Mseke
2,244
285
125
23
551
9,875
13,103
1.4
6
Magulilwa
4,015
234
222
57
7,328
42,285
54,141
6.0
7
Luhota
2,853
107
101
21
5,121
11,890
20,093
2.2
8
Mgama
2,982
564
411
72
3,689
9,875
17,593
1.9
9
Lyamgungwe
4,025
672
169
0
637
42,364
47,867
5.3
10
Ifunda
3,951
641
507
0
1,834
21,225
28,158
3.1
11
Lumuli
3,603
517
124
0
837
29,875
34,956
3.8
12
Maboga
4,191
243
8
12
3,314
12,377
20,145
2.2
13
Wasa
4,632
1,048
236
16
3,477
46,783
56,192
6.2
14
Mahuninga
3,449
5,073
851
57
311
12,345
22,086
2.4
15
Idodi
12,212
7,066
4,310
112
273
46,783
70,756
7.8
16
Mlowa
8,995
12,994
3,095
163
151
13,245
38,643
4.3
17
Itunundu
17,836
4,152
936
155
179
19,660
42,918
4.7
18
Mlenge
11,521
7,182
4,052
242
287
18,725
42,009
4.6
19
Ilolompya
6,771
6,408
852
80
69
16,274
30,454
3.4
20
Nduli
5,648
3,391
1,134
160
1,421
23,326
35,080
3.9
21
Nyang’oro
7,359
7,792
8,491
286
598
29,840
54,366
6.0
22
Kihorogota
5,122
3,361
2,525
103
1,771
21,881
34,763
3.8
23
Izazi
10,958
17,183
1,156
361
84
25,681
55,423
6.1
24
Migoli
14,367
12,782
4,066
163
376
23,360
55,114
6.1
25
Malengamakali
4,718
8,127
1,259
312
867
10,716
25,999
2.9
Jumla kuu kiwilaya
155,355
103429
36760
2796
36159
573,648
908,147
0
Asilimia
1
4
0
3
0
2
0






 

Chanzo cha taarifa: Ofisi ya Mkurugenzi(W), (Idara ya Mifugo na uvuvi), Halmashauri ya wilaya ya Iringa,

 TAARIFA YA CHANJO YA MBWA 2016

Halmashauri ya wilaya ya Iringa huchanja mbwa na paka kila mwaka kuzuia ugonjwa hatari wa kichaa cha mbwa kwa binadamu na kwa wanyama wengine wenye damu moto kwa njia ya kampeni (Mass vaccination). Kampeni ya kichaa cha mbwa huhusisha uhamasishaji na utoaji elimu kwa jamii, utoaji wa chanjo kwa mbwa, ufuatiliaji wa mbwa wasiochanjwa na kuua mbwa wazururaji (Stray dogs). Katika mwaka wa 2016 Kampeni ya chanjo ya kichaa cha mbwa ilifanyika katika kipindi cha Julai hadi Oktoba katika maeneo yote ya Halmashauri. Matokeo ya zoezi hili ni kama ifuatavyo;

 a) Uhamasishaji na utaoji elimu kwa jamii; Katika kampeni ya mwaka huu, uhamasishaji na utoaji wa elimu umefanywa na wataalamu wa mifugo kwa kushirikiana na wataalamu wa afya walioko ngazi kata na vijijini.

b) Utoaji wa chanjo; Katika kipindi hiki jumla ya mbwa 12,778 walipata chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kichaa cha mbwa kati ya 13,223. Idadi hii ni sawa na asilimia 96.6%, aidha jitihada zinaendelea kuwadhibiti wamiliki wa mbwa pamoja na kuwachukulia hatua za kisheria na kuua mbwa wote wazuraji vijiji wasiokuwa na umiliki.

c) Ufuatiliaji wa mbwa wasiochanjwa; Baada ya kukamilisha kwa zoezi la uchanjaji, ufuatiliaji wa mbwa ambao hawakupata chanjo ulifanyika na wenye mbwa kuchukuliwa hatua na watendaji wa vijiji na kata. Pamoja na kuchukuliwa hatua, wamiliki walilazimika kuwapeleka mbwa wao kupata chanjo.

d) Kuua mbwa wazururaji (wasio na wamiliki); Jumla ya mbwa 123 waliuawa na wananchi kwa kutumia silaha mbalimbali pamoja na sumu. Idadi hii inajumuisha mbwa walioonyesha dalili za ugonjwa. Kampeni ya kuua mbwa wazururaji haikufanyika kutokana na ukosefu wa fedha.

Changamoto

 • Elimu ndogo kwa wafugaji kuhusu ugonjwa na umuhimu wa chanjo

 • Kutozingatia ufugaji bora wa mbwa ambao husababisha mbwa kuuma watu na wao kupata maambukizi ya kichaa kwa urahisi.

• Ukosefu wa fedha za kununulia risasi au sumu na kuendeshea kampeni ya kuuwa mbwa. Ufumbuzi

• Kutoa elimu juu ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa na umuhimu wa chanjo, ufugaji bora wa mbwa kwa wafugaji ikiwa ni pamoja na kuwalisha, kuwajengea sehemu ya kuishi na kuwapa matibabu stahiki.

 • Halmashauri za vijiji kwa kushirikiana na wataalam wa ugani kuwatambua mbwa wasiokuwa na mmiliki ili hatua sitahiki zichukuliwe.

• Kuchukua hautua za kisheria kwa wamiliki ambao hawajachanja na wanaoacha mbwa kuzurura nyakati za mchana.

• Wananchi kuzingatia taratibu za ufugaji wa mbwa ambapo hutakiwa kuwafungia kuanzia saa 11.00 asubuhi na kufunguliwa saa 4.00 usiku.

• Halmashauri imetunga sheria ndogo ya kudhibiti magonjwa ya mlipuko ya mifugo na bado kuidhinishwa na TAMISEMI.

 

 

 

TAARIFA YA CHANJO YA MBWA DHIDI YA KICHAA KWA MWAKA 2016

1
KATA 
Kising'a
IDADI YA MBWA TARAJIWA KUCHANJWA
713
MBWA WALIOCHANJWA
722
MBWA WALIOUAWA
2







2
Kihorogota
401
395
4







3
Malengamakali
789
817
6







4
Izazi
332
358
7







5
Migoli
492
506
6







6
Itunundu
223
198
9







7
IloloMpya
192
189
9







8
Mlenge
206
210
5







9
Idodi
359
356
11







10
Mahuninga
402
352
4







11
Mlowa
536
524
11







12
Maboga
298
281
5







13
Kihanga
201
187
2







14
Wasa
261
257
3







15
Ifunda
461
467
2







16
Kalenga
381
376
3







17
Kiwere
602
610
2







18
Nzihi
556
525
3







19
Magulilwa
791
797
1







20
Luhota
1087
1138
2







21
Lyamgungwe
563
558
3







22
Mgama
485
492
5







23
Mseke
545
539
6







24
Masaka
241
234
1







25
Nyan'olo
577
563
5







26
Lumuli
353
317
3







27
Ulanda
792
781
4







28
Mboliboli
384
346
3









13,223
12,778
123



























































































































































































Matangazo

  • Heri ya sikukuu ya Pasaka April 19, 2025
  • Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura May 01, 2025
  • Kila la Heri Kidato cha Sita 2025 May 05, 2025
  • KUITWA KWENYE USAHILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI JIMBO LA KALENGA NA ISMANI December 06, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • "KILA KATA WEKENI MIKAKATI MAALUMU YA KUPUNGUZA HALI DUNI YA LISHE" - MHE. KHERI JAMES

    May 09, 2025
  • KAMPENI YA CHANJO YA POLIO AWAMU YA PILI YATOLEWA MEI 01, 2025

    May 08, 2025
  • MBOMIPA Wakabidhi Gari kwa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori

    May 08, 2025
  • IRINGA DC YAKABIDHI MWENGE WA UHURU KILOLO DC

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Makala kuhusu miundombinu ya elimu
video

Viungo vya haraka

  • FOMU YA USAJILI WA VIKUNDI
  • INGIA KWENYE MFUMO WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
  • Salary slip

Viungo vinavyohusiana

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Rais-Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ofisi ya Rais -Utumishi na Utawala Bora
  • Sekretariati ya ajira
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti kuu ya takwimu huria
  • Tovuti Rasmi ya Rais

Idadi ya watembeleaji duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

https://bachelorthesiswritingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kijiji cha Ihemi

    Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa

    Simu ya mezani: 026-2702828/2702585

    Simu ya mkononi: 0757 364 994

    Barua pepe: ded@iringadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa