IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Na.
|
AINA YA MIUNDOMBINU
|
IDADI
|
1
|
Minada ya mifugo
|
7
|
2
|
Majosho
|
63
|
3
|
Malambo
|
9
|
4
|
Mabirika
|
16
|
5
|
LDC
|
4
|
6
|
Holding ground
|
4
|
7
|
Machinjio ndogo
|
7
|
8
|
Vituo vya machinjio
|
49
|
9
|
Mabanda ya ngozi
|
7
|
10
|
Mabwawa hai ya samaki
|
299
|
Bata
|
Sungura
|
Kanga
|
Punda
|
Mbwa
|
Farasi
|
ngamia
|
Paka
|
2,455
|
4,182
|
4,205
|
5,749
|
13,425
|
58
|
42
|
1,421
|
Ng’ombe
|
Mbuzi
|
Kondoo
|
Nguruwe
|
Kuku
|
|||
Asili
|
Maziwa
|
Asili
|
Maziwa
|
Asili
|
Kisasa
|
||
159,471
|
9,616
|
108,947
|
204
|
46,715
|
38,281
|
523,450
|
205,883
|
2.1. TAKWIMU ZA MIFUGO
Ukanda huu uko kati ya mita 1,200 na 1,600 kutoka usawa wa bahari na hupata wastani wa mvua kwa mwaka kati ya mm 600 na 1,500 ukiwa na jotoridi kati ya nyuzi degree 15c – 25c. Ukanda huu una vilima vya mtawanyiko, maeneo tambarare yenye madimbwi ya maji; na unahusisha maeneo ya Tarafa za Kiponzelo, Kalenga, Mlolo pamoja na kata ya Kising’a katika Tarafa ya Ismani.
Ukanda huu unafaa kwa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa na nyama, kondoo, mbuzi, punda, sungura, simbilisi, nguruwe, kuku pamoja na ufugaji wa samaki katika mabwawa ya kuchimbwa na kilimo cha malisho ya mifugo.
Ufugaji ni moja ya shughuli ya pili ya kiuchumi baada ya mazao ambayo yanawaingizia kipato wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Juhudi zinafanywa na Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kusambaza Mbegu bora na kuboresha mbari, kwa njia ya uhamilishaji (Artificial Insemination) na madume bora ya mifugo. Halmashauri ya Wilaya ina zaidi ya Hekta 100,064 za malisho ya mifugo zilizotengwa kwa ajili ya wafugaji wadogo katika vijiji 134.
4.1 MIFUGO
Uwepo wa Bwawa hili umekuwa na faida kwa jamii kwani umewezesha shughuli za uvuvi na kuwaongezea wananchi kipato na kuboresha lishe katika katika jamii.
Shughuli za uvuvi hufanyika katika Bwawa la Mtera ambalo lina ukubwa wa kilomita za mraba 660, lipo katika eneo linalozunguka Halmashauri za Wilaya za Chwamwino na Mpwapwa katika mkoa wa Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Iringa katika Mkoa wa Iringa. Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Iringa ina eneo la kilomita 220 za bwawa la Mtera. Eneo la Bwawa la Mtera katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa linajumuisha kata ya Migoli katika vijiji vya Kinyali, Mbweleli, Makatapora, Mtera, Migoli na Mapera na kata ya Izazi katika vijiji vya Mnadani na Makuka.
Endapo fursa zilizoanishwa hapo juu zitapata wadau wa uwekezaji zitafungua uchumi na maendeleo kwa wananchi, Halmashauri, Mkoa na Taifa kwa ujumla katika kuongeza ajira kwa vijana na kipato katika za uzalishaji za mifugo na uvuvi.
6.0 HITIMISHO
Bottom of Form
Top of Form
Fursa za upatikaji wa malighafi za kutengeneza pembejeo hizi zinapatikana katika Halmashauri na ndani ya nchi. Aidha vijana na wawekezaji wanakaribishwa kuwekeza kwenye maeneo hayao.
Halmashauri ina uhitaji mkubwa wa pembejeo za kilimo na mifugo kutokana na uwekezaji wa wakulima na wafugaji wakubwa na wadogo. Mahitaji makubwa ni katika mbolea, zana za kilimo, viuatilifu, madawa ya mifugo ambayo hutajika kwa kiwango kikubwa.
5.6 VIWANDA VYA PEMBEJEO ZA MIFUGO NA UVUVI.
Uwekezaji hasa katika kuchakata mazao ya kilimo na mifugo ni kipaumbele cha Halmashauri ina mazingira wezeshi na yanazidi kuboreshwa kwa ajili uwekezaji wa viwanda.
Halmashauri ina malighafi nyingi kwa ajili ya uzalishaji wa chakula cha mifugo na samaki kama vile mtama, mahindi, choroko, soya, karanga na alizeti .Vijana na wawekezaji wanakaribishwa kuzalisha chakula cha mifugo na samaki hasa chakula cha ng'ombe, nguruwe, mbuzi, kuku, samaki nk.
Hili ni eneo linalohitaji kuendelezwa maana kuna uhitaji mkubwa wa chakula cha mifugo na samaki.
5.5 UCHAKATAJI WA CHAKULA CHA MIFUGO NA SAMAKI
Vifungashio vitatoa fursa ya kutangaza jina la biashara na hivyo kuongeza ushindani wa bidhaa zinazozalishwa.
Kwa sasa vifungashio vilivyopo kwa kiasi kikubwa havikidhi ubora wa masoko mbalimbali. Kuna fursa kubwa ya kuzalisha vifungashio kama vile mifuko maalum ya kuhifadhi bidhaa zilizosindikwa kama maziwa (mtindi, yoghurt, fresh milk, siagi), nyama na samaki.
Kiasi kikubwa cha uharibifu wa chakula na bidhaa za mifugo na uvuvi nchini ni kwa sababu ya ukosefu wa vifungashio stahiki. Kuwekeza katika uzalishaji wa vifungashio ni fursa ya wazi na itasaidia kuwa na utoshelevu wa chakula pamoja na kuondoa umaskini.
5.4 VIFUNGASHIO
Uwekezaji unaweza kuwa katika uchakataji wa samaki, nyama, maziwa na ngozi. Vijana na wawekezaji wanakaribishwa kuwekeza katika fursa hizi.
Uhitaji wa bidhaa bora zilizochakatwa (bidhaa za) nchini umeendelea kuongezeka. Soko la bidhaa za mifugo na samaki zilizochakatwa linazidi kukua ndani na nje ya nchi. Soko lipo ndani ya nchi na katika nchi jirani kama vile Zambia, Zimbabwe, Burundi, Kongo, Rwanda, Kenya, Sudani ya Kusini, na Uganda.
5.3 UCHAKATAJI NA USINDIKAJI WA MAZAO YA MIFUGO NA UVUVI
Vijana na wawekezaji wanakaribishwa kujihusisha katika usafirishaji wa bidhaa hizi na uhifadhi ili kutatua changamoto ya upungufu wa chakula katika baadhi ya maeneo na kuchochea biashara ya ndani na nje ya nchi. Serikali imeboresha mazingira ya biashara ikiwa ni pamoja na kuondoa kodi zisizo na tija na kurahisisha upatikanaji wa leseni.
Aidha katika Halmashauri kuna fursa ya kuwekeza kwenye miundombinu ya uhifadhi wa vyumba vya ubaridi (cold rooms) kwa maziwa, nyama pamoja na samaki katika bwawa la kwa ajili ya kuboresha ubora.
Halmashauri ina fursa katika usafirishaji wa mazao ya mifugo na uvuvi kutoka Iringa kwenda maeneo yenye upungufu ndani ya nchi kama Dodoma, Dar Es Salaam, Singida, Arusha, Kilimanjaro, Zanzibar na nje ya nchi kama vile Malawi, Kongo, Uganda, Kenya, Sudani ya Kusini, na Zambia
5.2 USAFIRISHAJI NA UHIFADHI WA MAZAO YA MIFUGO NA UVUVI
Kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji vijana na wawekezaji wamejiari katika ufugaji ikiwa ni vipaumbele vya Halmashauri
Halmashauri ina ardhi ya kutosha yenye rutuba, hali nzuri ya hewa na miundombinu mizuri ya barabara, umeme, masiliano ya simu ikiwa ni pamoja na vyanzo vya uhakika vya maji. Kutokana na uwepo wa mto Ruaha Mdogo na vyanzo vingine, kunatoa fursa nzuri kwa wawekezaji na vijana kushiriki katika ufugaji bora na kibiashara kama ufugaji wa ng’ombe wa maziwa, wa nyama, mbuzi wa maziwa na nyama, kondoo, kuku wa nyama na mayai, nguruwe na samaki. Ukuaji wa idadi ya watu nchini na duniani kote unatoa fursa kwa ajili ya chakula bora aina ya nyama, maziwa, mayai samaki ndani na nje ya nchi.
5.1 UFUGAJI WA MIFUGO KISASA NA KIBIASHARA
Fursa za uwekezaji katika sekta ya mifugo na uvuvi zinavutia wawekezaji wa mitaji na hivyo kuongeza ajira, kipato na kukuza uchumi katika Halmashauri na jamii.
5.0 FURSA ZA MIFUGO NA UVUVI
MIUNDOMBINU YA MIFUGO NA UVUVI
SNo
|
AINA YA MUUNDOMBINU
|
IDADI
|
1
|
Minada ya mifugo
|
6
|
2
|
Majosho
|
50
|
3
|
Malambo
|
9
|
4
|
Mabirika
|
13
|
5
|
LDC
|
4
|
6
|
Holding ground
|
4
|
7
|
Machinjio ndogo
|
6
|
8
|
Vituo vya machinjio
|
47
|
9
|
Mabwawa ya samaki
|
119
|
10
|
Mabanda ya ngozi
|
6
|
Kata | Ng’ombe
|
Mbuzi
|
Kondoo
|
Punda
|
Nguruwe
|
Kuku
|
Jumla
|
Asilimia
|
Kalenga
|
13,903
|
3,607
|
2,130
|
401
|
2,984
|
85,263
|
108,288
|
12
|
Mlolo
|
16,119
|
1862
|
1028
|
173
|
17,326
|
116,289
|
152,797
|
17
|
Kiponzero
|
16,377
|
2,449
|
875
|
28
|
9,462
|
110,260
|
139,451
|
15
|
Idodi
|
24,656
|
25,133
|
8,256
|
332
|
735
|
72,373
|
131,485
|
14
|
Pawaga
|
36,128
|
17,742
|
5,840
|
477
|
535
|
54,659
|
115,381
|
13
|
Isimani
|
48,172
|
52,636
|
18,631
|
1385
|
5,117
|
134,804
|
260,745
|
29
|
Jumla kuu
|
155,355
|
103,429
|
36,760
|
2,796
|
36,159
|
573,648
|
908,147
|
100
|
Ismani inaongoza tarafa nyingine kwa asilimia 28.7 katika takwimu za mifugo kiwilaya ikifuatiwa na tarafa ya Mlolo(16.8%), kiponzelo (15.4%), Idodi (14.5%), Pawaga (12.7%) na tarafa ya kalenga yenye asilimia 11.9.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa