Mikakati ya Halmashauri:
Uboreshaji huduma na kupunguza maambukizi ya VVU katika Halmashauri yaWilaya ya Iringa.
Utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa mapambano dhidi ya rushwakatika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Uboreshaji wa upatikanaji na utoaji wa huduma bora za jamii kwa usawakatika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Uongezaji wa huduma bora za kijamii na kimiundombinu katika Halmashauri yaWilaya ya Iringa
Uimarishaji wa Utawala bora na Sheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
Uendeshaji na ushirikishwaji wa wadau na jamii katika mchakato wa kuandaamipango na kutekeleza shughuli za maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya yaIringa
Uboreshaji wa utunzaji endelevu wa maliasili na Mazingira katika Halmashauriya Wilaya ya Iringa
Uboreshaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Halmashauri yaWilaya ya Iringa
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa