Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kalenga na Ismani Bi. Caroline Ang'wen Otieno akabidhi fomu za uteuzi za wagombea wa Jimbo la Kalenga na Isman kwa tiketi ya CCM katika ofisi ya uchaguzi iliyopo makao makuu ya Halmashauri - Ihemi.
#kurayakohakiyakojitokezekupigakura
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa