Saturday 18th, January 2025
@
Maadhimisho ya Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanatarajiwa kufanyika Kiwilaya katika Kijiji cha Mfukulembe,Mgeni Rasmi atakua ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Mheshimiwa Stephen Mhapa.
Kauli mbiu ni Tanzania ya kijani inawezekana, panda miti kwa maendeleo ya viwanda.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa