Saturday 18th, January 2025
@
Wananchi wote tunapenda kuwakaribisha katika Mnada wetu wa Igingilanyi unaofanyika kila jumamosi katika kijiji cha Igingilanyi km 21 kutoka Iringa mjini,aidha katika mnada huo kunakua na shughuli za kuuza na kununua nyama za aina mbalimbali,mazao ya aina mbalimbali na mambo mengine mengi yanapatikana katika eneo la mnada.
Watu wote mnakaribishwa na hakuna kiingilio.
Kijiji cha Ihemi
Anuani ya posta: Po.Box108 Iringa
Simu ya mezani: 026-2702828/2702585
Simu ya mkononi: 0757 364 994
Barua pepe: ded@iringadc.go.tz
Haki miliki @ Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Haki zote zimehifadhiwa